Idara ya Uhamiaji Mbeya imekuwa changamoto na kero kubwa, nimeenda kuomba Passport nimerudi zaidi ya mara 4, mwezi sasa umeisha wanasema hakuna Mtandao wakati sisi tunajaza form zao online, tukiwapelekea wao wanasema mtandao hamna mbona form zao tunajaza bila shida, kwanini wao ofisini kwao?
Hakuna mtandao kwenye mfumo wao wa ndani, kwa mfano mimi nimefanya kujaza form ya maombi ya passport online nikakamilisha nilipo ipeleka immigration nikaambiwa hakuna mtandao.