Uhamiaji: Mchungezeni mrembo Richa Adhia

richa adhia kutuwakilisha miss india worldworldwide




Miss TZ 2006 Richa Adhia akipozi baada ya kutawazwa Samsung Miss TZ India 2010 na kuwa mwakilishi wetu katika fainali za Miss India Worldwide zitakazofanyika mwisho wa mwezi huu huko Johannesburg Sauzi.

Uncle Hashim Lundenga akiwa na 'mwanae' Richa Adhia, Miss TZ 2007


Richa na wadogo zake


..wadau waliohudhuria shindano hilo lililofanyika New Africa Hotel usiku wa kuamkia leo.
 

Hapo ndipo hasa ninapotatizika waheshimiwa;Je Adhia si anakwenda SA kama Muhindi anayeishi nje ya India kwenye mashindano ya Wahindi?

Tafadhali nielewesheni
 


those are indians in diaspora....hana uraia wa india ila anayo asili ya india,,,,hata pale foregn karibuni wanaanzisha dawati la watanzania wenzetu walio nje...iwe kwa kufanya kazi au uraia [wengine ni dada zetu wameolewa nje...]...nchi zote siku hizi zinajuwa faida za kuendelea kuweka bonds na raia au watu wa asili yao walio nje....na huko india moja ya njia kuu za kupata pesa za serikali yao ni pesa zinazotumwa na hawa ndugu zao...serikali inafaidika kwa kodi na interests...vile vile kuimarisha uchumi...

sasa hapa upeo wetu unaishia uhamiaji????? nenda uk na usa nako wabongo wanafanya miss tanzania USA ;/UK....wanahitaji tu kuungwa mkono na serikali...ili siku moja wafanye miss tanzania world[unganisha asili ya watanzania wote ulimwenguni..]
 
usichanganye mambo...
hilo shindano sio la raia wa India
bali ni shindano la watu wenye asili ya India.........
 
Busara, uadilifu na hekima ni vya muhimu utoapo mchango wako.
na si kana kwamba upo bar.
 

Sasa hili la MIPOMBE YA KIENYEJI limetoka wapi?Disabuse your mind,baadhi are sustained and nourished by streams of mnazi,ulanzi,busaa,changaa,waragi name it /na hawa ni watu na heshima zao tu.
 
 
Hapo ndipo hasa ninapotatizika waheshimiwa;Je Adhia si anakwenda SA kama Muhindi anayeishi nje ya India kwenye mashindano ya Wahindi?

Tafadhali nielewesheni

Any woman of Indian origin (regardless of her place of birth) between the ages of 17 and 27 inclusive (on December 31st of the year she participates)

Kwamba anaweza kuwa Mmarekani mwenye asili ya India,Mjamaika mwenye asili ya India,Muingereza mwenye asili ya India,Mghana mwenye asili ya India n.k.....Swali...Kuna tofauti gani unaposema Indian American ama African American?...ie Nini maana ya Mtanzania/Mmarekani mwenye asili ya India? au Mmarekani mwenye asili ya Afrika?....Tafakari....kisha toa jibu sahih
i
 
"Mitanzania mingine ina wivu wa kijinga sana. Inakuuma kuona huyo mdada ana miliki passport mbili?"

Si wivu jamani mtu anaipenda nchi yake na anauchungu nayo
 
hapa kuna mneno unatakiwa kutolewa explanation. any person who can get the truth from Lundenga or Kamati ya Miss Tanzania?
 
kuna kitu umemiss mkuu

yeye kuwakilisha india worldwide ni kama vile wale mamiss tanzania wanaotoka ulaya kama kuna wakati tulikua na miss tanzania Uk, the only different here could be wao wameangalia asili yake na sio uraia wake

i stand to be corrected
 
Hata mimi imeniacha mdomo wazi kabisa. Ila niifahamuvyo Tanzania, ni bora liende na kwa hakika pengine hata maofisa wa usalama na uahamiaji bado hawajagutuka. Labda kama kuna anyetembelea hapa au rafiki basi ndiyo atampatia shoti ya umeme kushtua ufahamu wao. Kweli hivi ni nani alituloga watanzania tunabaki kuwa Yes men, no problem, Yaaa, of course, you are right, it is yours, welcome, etc!!!!?? Kwa nini nchi zote za nje nimetembelea huwezi kabisa temper na maisha kule na sheria zake?? Tunahitaji Rais komandoo ambao hatizami mtu usoni na ambaye atatumia safari zake za nje japo kuona namna gani foreighners wanakuwa treated!!! Shiiiiiiiit.
 
Nadhani unaconfuse issues, Indian ni both race and nationality.
Unaweza kuwa Indian lakini una nationality ya Tanzania. Anyway kuna matatizo makubwa zaidi ya kuchunguza nchi hii.

And what is the difference between nationality and citizenship? You might confuse other people here as well. Respect!
 
huyu jamaa labda ana-exercise skills za kisheria tumwache bana... kama haelewi basi!
 

...Great thinkers, tatizo ni nini hapa? Lugha?
 
Jamani Im I missing something here! Miss IndiaWorld Wide sio lazima uwe na uraia wa India, The fact kwamba wahindi wako kila mahari, ndio shindano lenyewe! ataitwa Miss India Worldwide kutoka Tanzania Kwa mfano!
Tukienda Ulaya huwa tunakuwaga sensitive sana kulalamika kuwa tunabaguliwa lakini hili la Adhia linanifanya nianze kufikiri pia huenda hata Waafrika tunakaubaguzi ka rangi! Nakumbuka kuna watu walilia hadharani siku aliposhinda kuwa MissTz. What does this Mean! are we racist? Im sure this is not Xenophobia!
 
Jamani....bila kufahamu vigezo vya kushiriki mashindano yale hatuwezi kuwa na cha kusema...................

hivi............Kwa nini mashindano yafanyike SA......... na si INDIA.....???
Mshiriki anatakiwa awe na vigezo gani.....???
 
Ni kutoelewa tu.Tanzania ni mara ya kwanza kuingia mashindano haya,lakini yalikuwapo kitambo na wanaoshiriki ni wenye asili ya India mahali popote duniani.

Wanashiriki kama Miss India Tanzania,Miss India UK,Miss India Canada,Miss India US n.k lakini wana hold uraia wa nchi zao.Miss India Tanzania maana yake ni mshindani wa Kitanzania mwenye asili ya India.

Mambo ya Globalization hayo!



Richa ni wa hapa hapa tunamjua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…