Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Sibiri uone km baada ya uchaguzi utazisikia tena hizo ngonjera.CDF ametoa taarifa kwa CIC sasa ni juu ya Rais kulifanyia kazi kutumia vyombo vyake
Kwani Mother naye ni raia wa Tanzania ?Kigogo Media anamjua.
Anasema jamaa mmoja raia wa kigeni alifanikiwa kuwa rais wa nchi hii. Lakini Mungu amemuondoa yule.
Kioja kingineLakini labda haufahamu kwamba hata hayo yanayoitwa maandamano ya Chadema yemeratibiwa na hao hao CCM kushirikiana na viongozi wa chadema ambao hata raisi wa ccm alitoa mamilioni ya fedha kumkabidhi mbowe kujengea kanisa kwao na hata akasema (Mbowe) kwamba ni ccm wamempa hizo hela za kujengea kanisa.
sasa swali kwako, ccm uwatoe nani aje? chadema ya mbowe na tundu lisu ambaye hata holliday kusafiri nje analipiwa na ccm? au zito kabwe ?
Mngazija wa Comoro mixed with Omani ArabsKwani Mother naye ni raia wa Tanzania ?
Watu gani? Kwa nini hawatajwi?Bwana Msele aambiwe, CDF hakuongelea watu wanaoishi kihalali, ameongelea watu wanaoishi bila uhalali.
Kama ni hivyo sheria zetu za uhamiaji zinatakiwa kufanyiwa marekebisho makubwa.Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.
So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole.
Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais anaesemekana kuingia Nchini kutoka Nchi jirani akiwa mtoto. Watanzania tunajuana Kwa tabia za Uungwana.
========
"Uraia wa Tajnisi kwamba mgeni amefika Tanzania ameishi na kwa mujibu wa sheria inasema kwamba awe ameishi kwa kipindi kisichopungua miaka 10.
"Atapata haki zingine zote isipokuwa hawezi kugombea zile nafasi za juu za uongozi kama Rais. Lakini ubunge anaweza kugombea na anaweza kuwa Waziri. Kwa level ya Urais hawezi kugombea ile nafasi ni kwa ajili ya raia wa Tanzania kwa kuzaliwa tu" Paul John Msele msele, Mrakibu wa jeshi la Uhamiaji.
Clouds
My Take
Kama hili la Uraia linasumbua hivi,Swala la Uraia Pacha ndio halitakaa liwezekane.
Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.

Ile kauli yake ni mwanzo wa witch-hunt.Watu gani? Kwa nini hawatajwi?
Inawezekana kabisa. Inawezekana ni sehemu ya kampeni watu wanajipanga.Ile kauli yake ni mwanzo wa witch-hunt.
Siamini kama amesema vile bahati mbaya au bila prior approval ya Pres.
Mgeni aliyepata uraia anaweza kuwa makamu wa Rais?Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.
So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole.
Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais anaesemekana kuingia Nchini kutoka Nchi jirani akiwa mtoto. Watanzania tunajuana Kwa tabia za Uungwana.
========
"Uraia wa Tajnisi kwamba mgeni amefika Tanzania ameishi na kwa mujibu wa sheria inasema kwamba awe ameishi kwa kipindi kisichopungua miaka 10.
"Atapata haki zingine zote isipokuwa hawezi kugombea zile nafasi za juu za uongozi kama Rais. Lakini ubunge anaweza kugombea na anaweza kuwa Waziri. Kwa level ya Urais hawezi kugombea ile nafasi ni kwa ajili ya raia wa Tanzania kwa kuzaliwa tu" Paul John Msele msele, Mrakibu wa jeshi la Uhamiaji.
Clouds
My Take
Kama hili la Uraia linasumbua hivi,Swala la Uraia Pacha ndio halitakaa liwezekane.
Masuala ya uhamiaji sio ya CDF.Ametumwa na nani kufafanua hilo Jambo, taarifa ya CDF Kwa Amiri jeshi mkuu imejitosheleza kabisa. Kazi ni kwetu kungojea mrejesho au kimya kikiwa kingi ni kupaza sauti, ustawi wa Tanzania unajengwa na Watanzania na si wageni ambao uzalendo kwao mdogo sana.
Masuala ya uhamiaji sio ya CDFKama watu watafikiri kauli hii inajibu hoja ya CDF, basi wanakosea sana.
CDF hakuongelea watanzania wenye uraia wa kujiandikisha. Aliongelea ambao wamejipachika uraia baada tu ya kufanikiwa kuishi nchini, kusoma na kuzoeana na watu lakini hawakufanya any legal procedure ya kuomba uraia wa Tanzania.
Linapoanza kugusa na kutishia amani na usalama wa nchi, hilo moja kwa moja linakuwa la kwake.Masuala ya uhamiaji sio ya CDF
Lupaso asili ya wazazi wake ni Nchubiji, yule baharia wa zenj asili yake Nyasaland, komandoo asili yako Comoro, pia yapasa tukumbuke huko nyuma Rwanda na Burundi zilikuwa Tanganyika na pia ni himaya ya wajima akina Rumanyika, tukianza kunyosheshaana vidole hakuna atakayebaki hapa, wengine asili yao ni Oman, Iran(mabrush), Somalia na kadhalika, mwenye Tanganyika ni Wagogo tu wengine wote wahamiaji.Mabinamu zake wapi? Huyo huyo aliyekulia Kijijini kuchunga Ng'ombe alitokea wapi?
Haya ni matumizi mabaya ya amani na usalama wa nchi. Idara ya uhamiaji wakisaidiwa na TISS na polisi wanatosha kabisa kushughulika na masuala ya uhamiaji.Linapoanza kugusa na kutishia amani na usalama wa nchi, hilo moja kwa moja linakuwa la kwake.
Hapa Madam Prez anatengeneza "deniability" na "kujiosha mikono", ikianza sekeseke watasema ni reaction ya kauli za CDF.Inawezekana kabisa. Inawezekana ni sehemu ya kampeni watu wanajipanga.
Ukijipendekeza kuwania urais tu, watu wanakupa kesi ya uhamiaji ya kufukua mpaka 1860s huko.
CDF anaongeaje hadharani mambo haya kama hana access ya kuongea na rais privately?
Unateseka ukiwa wapi Ndugu.Lakini labda haufahamu kwamba hata hayo yanayoitwa maandamano ya Chadema yemeratibiwa na hao hao CCM kushirikiana na viongozi wa chadema ambao hata raisi wa ccm alitoa mamilioni ya fedha kumkabidhi mbowe kujengea kanisa kwao na hata akasema (Mbowe) kwamba ni ccm wamempa hizo hela za kujengea kanisa.
sasa swali kwako, ccm uwatoe nani aje? chadema ya mbowe na tundu lisu ambaye hata holliday kusafiri nje analipiwa na ccm? au zito kabwe ?