Pre GE2025 Uhamiaji: Mgeni Aliyeomba Uraia wa Tanzania anaweza kuwa Mbunge au Waziri ila haruhusiwi kuwa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lakini labda haufahamu kwamba hata hayo yanayoitwa maandamano ya Chadema yemeratibiwa na hao hao CCM kushirikiana na viongozi wa chadema ambao hata raisi wa ccm alitoa mamilioni ya fedha kumkabidhi mbowe kujengea kanisa kwao na hata akasema (Mbowe) kwamba ni ccm wamempa hizo hela za kujengea kanisa.

sasa swali kwako, ccm uwatoe nani aje? chadema ya mbowe na tundu lisu ambaye hata holliday kusafiri nje analipiwa na ccm? au zito kabwe ?
Kioja kingine
 
Africa ya Kusini Wahamiaji haramu wa Kizungu na Kihindi wana Enjoy life huku wale wenzetu wa Kiafrika wakiuwawa hovyo na kuchomwa moto mchana kweupe.

Tunataka Muungano wa AFRIKA hivi itawezekana kweli?
 
Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.

So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole.

Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais anaesemekana kuingia Nchini kutoka Nchi jirani akiwa mtoto. Watanzania tunajuana Kwa tabia za Uungwana.

========

"Uraia wa Tajnisi kwamba mgeni amefika Tanzania ameishi na kwa mujibu wa sheria inasema kwamba awe ameishi kwa kipindi kisichopungua miaka 10.

"Atapata haki zingine zote isipokuwa hawezi kugombea zile nafasi za juu za uongozi kama Rais. Lakini ubunge anaweza kugombea na anaweza kuwa Waziri. Kwa level ya Urais hawezi kugombea ile nafasi ni kwa ajili ya raia wa Tanzania kwa kuzaliwa tu" Paul John Msele msele, Mrakibu wa jeshi la Uhamiaji.

Clouds

My Take
Kama hili la Uraia linasumbua hivi,Swala la Uraia Pacha ndio halitakaa liwezekane.
Kama ni hivyo sheria zetu za uhamiaji zinatakiwa kufanyiwa marekebisho makubwa.

Fukiria unakuwa na Waziri wa Ulinzi asili yake Rwanda halafu vita inazuka baina yetu na Rwanda ?.
 
Hiyo sio tatizo hata kogaja ujaluoni kenya walisheelekea kuchaguliwa Obama
Haikumaanisha kua ni mkenya
Leo waziri mkuu wa wingereza ni mahindi je uingereza inatawaliwa na wahindi
Acheni ubaguzi ubaguzi ni alama ya umaskini
ubaguzi ni sifa ya mchoyo hajajitosheleza hajui kua anawahitaji watu wasaidie uchumi wake
 
Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.

So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole.

Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais anaesemekana kuingia Nchini kutoka Nchi jirani akiwa mtoto. Watanzania tunajuana Kwa tabia za Uungwana.

========

"Uraia wa Tajnisi kwamba mgeni amefika Tanzania ameishi na kwa mujibu wa sheria inasema kwamba awe ameishi kwa kipindi kisichopungua miaka 10.

"Atapata haki zingine zote isipokuwa hawezi kugombea zile nafasi za juu za uongozi kama Rais. Lakini ubunge anaweza kugombea na anaweza kuwa Waziri. Kwa level ya Urais hawezi kugombea ile nafasi ni kwa ajili ya raia wa Tanzania kwa kuzaliwa tu" Paul John Msele msele, Mrakibu wa jeshi la Uhamiaji.

Clouds

My Take
Kama hili la Uraia linasumbua hivi,Swala la Uraia Pacha ndio halitakaa liwezekane.

So pia anaweza kuwa NAIBU WAZIRI MKUU ….
 
Ile kauli yake ni mwanzo wa witch-hunt.

Siamini kama amesema vile bahati mbaya au bila prior approval ya Pres.
Inawezekana kabisa. Inawezekana ni sehemu ya kampeni watu wanajipanga.

Ukijipendekeza kuwania urais tu, watu wanakupa kesi ya uhamiaji ya kufukua mpaka 1860s huko.

CDF anaongeaje hadharani mambo haya kama hana access ya kuongea na rais privately?
 
Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.

So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole.

Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais anaesemekana kuingia Nchini kutoka Nchi jirani akiwa mtoto. Watanzania tunajuana Kwa tabia za Uungwana.

========

"Uraia wa Tajnisi kwamba mgeni amefika Tanzania ameishi na kwa mujibu wa sheria inasema kwamba awe ameishi kwa kipindi kisichopungua miaka 10.

"Atapata haki zingine zote isipokuwa hawezi kugombea zile nafasi za juu za uongozi kama Rais. Lakini ubunge anaweza kugombea na anaweza kuwa Waziri. Kwa level ya Urais hawezi kugombea ile nafasi ni kwa ajili ya raia wa Tanzania kwa kuzaliwa tu" Paul John Msele msele, Mrakibu wa jeshi la Uhamiaji.

Clouds

My Take
Kama hili la Uraia linasumbua hivi,Swala la Uraia Pacha ndio halitakaa liwezekane.
Mgeni aliyepata uraia anaweza kuwa makamu wa Rais?
 
Ametumwa na nani kufafanua hilo Jambo, taarifa ya CDF Kwa Amiri jeshi mkuu imejitosheleza kabisa. Kazi ni kwetu kungojea mrejesho au kimya kikiwa kingi ni kupaza sauti, ustawi wa Tanzania unajengwa na Watanzania na si wageni ambao uzalendo kwao mdogo sana.
Masuala ya uhamiaji sio ya CDF.
 
Kama watu watafikiri kauli hii inajibu hoja ya CDF, basi wanakosea sana.
CDF hakuongelea watanzania wenye uraia wa kujiandikisha. Aliongelea ambao wamejipachika uraia baada tu ya kufanikiwa kuishi nchini, kusoma na kuzoeana na watu lakini hawakufanya any legal procedure ya kuomba uraia wa Tanzania.
Masuala ya uhamiaji sio ya CDF
 
Mabinamu zake wapi? Huyo huyo aliyekulia Kijijini kuchunga Ng'ombe alitokea wapi?
Lupaso asili ya wazazi wake ni Nchubiji, yule baharia wa zenj asili yake Nyasaland, komandoo asili yako Comoro, pia yapasa tukumbuke huko nyuma Rwanda na Burundi zilikuwa Tanganyika na pia ni himaya ya wajima akina Rumanyika, tukianza kunyosheshaana vidole hakuna atakayebaki hapa, wengine asili yao ni Oman, Iran(mabrush), Somalia na kadhalika, mwenye Tanganyika ni Wagogo tu wengine wote wahamiaji.
 
Linapoanza kugusa na kutishia amani na usalama wa nchi, hilo moja kwa moja linakuwa la kwake.
Haya ni matumizi mabaya ya amani na usalama wa nchi. Idara ya uhamiaji wakisaidiwa na TISS na polisi wanatosha kabisa kushughulika na masuala ya uhamiaji.
 
yaani karne zote hizi ccm walikuwa bize kuchomeka mamruki kwenye serikali yetu ambayo haina ajira na matatizo lukuki hivi.......yaani wapo kama akili waliazimisha kwa wanyama yaani.
 
Inawezekana kabisa. Inawezekana ni sehemu ya kampeni watu wanajipanga.

Ukijipendekeza kuwania urais tu, watu wanakupa kesi ya uhamiaji ya kufukua mpaka 1860s huko.

CDF anaongeaje hadharani mambo haya kama hana access ya kuongea na rais privately?
Hapa Madam Prez anatengeneza "deniability" na "kujiosha mikono", ikianza sekeseke watasema ni reaction ya kauli za CDF.
 
U
Lakini labda haufahamu kwamba hata hayo yanayoitwa maandamano ya Chadema yemeratibiwa na hao hao CCM kushirikiana na viongozi wa chadema ambao hata raisi wa ccm alitoa mamilioni ya fedha kumkabidhi mbowe kujengea kanisa kwao na hata akasema (Mbowe) kwamba ni ccm wamempa hizo hela za kujengea kanisa.

sasa swali kwako, ccm uwatoe nani aje? chadema ya mbowe na tundu lisu ambaye hata holliday kusafiri nje analipiwa na ccm? au zito kabwe ?
Unateseka ukiwa wapi Ndugu.
 
Back
Top Bottom