Pre GE2025 Uhamiaji: Mgeni Aliyeomba Uraia wa Tanzania anaweza kuwa Mbunge au Waziri ila haruhusiwi kuwa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lakini labda haufahamu kwamba hata hayo yanayoitwa maandamano ya Chadema yemeratibiwa na hao hao CCM kushirikiana na viongozi wa chadema ambao hata raisi wa ccm alitoa mamilioni ya fedha kumkabidhi mbowe kujengea kanisa kwao na hata akasema (Mbowe) kwamba ni ccm wamempa hizo hela za kujengea kanisa.

sasa swali kwako, ccm uwatoe nani aje? chadema ya mbowe na tundu lisu ambaye hata holliday kusafiri nje analipiwa na ccm? au zito kabwe ?
Huu ujinga muwe mnadanganyana wenyewe uko.hizi sio zama zakuendekeza propaganda za kijinga.
 
Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.

So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole.

Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais anaesemekana kuingia Nchini kutoka Nchi jirani akiwa mtoto. Watanzania tunajuana Kwa tabia za Uungwana.

========

"Uraia wa Tajnisi kwamba mgeni amefika Tanzania ameishi na kwa mujibu wa sheria inasema kwamba awe ameishi kwa kipindi kisichopungua miaka 10.

"Atapata haki zingine zote isipokuwa hawezi kugombea zile nafasi za juu za uongozi kama Rais. Lakini ubunge anaweza kugombea na anaweza kuwa Waziri. Kwa level ya Urais hawezi kugombea ile nafasi ni kwa ajili ya raia wa Tanzania kwa kuzaliwa tu" Paul John Msele msele, Mrakibu wa jeshi la Uhamiaji.

Clouds

My Take
Kama hili la Uraia linasumbua hivi,Swala la Uraia Pacha ndio halitakaa liwezekane.
Kama watu watafikiri kauli hii inajibu hoja ya CDF, basi wanakosea sana.
CDF hakuongelea watanzania wenye uraia wa kujiandikisha. Aliongelea ambao wamejipachika uraia baada tu ya kufanikiwa kuishi nchini, kusoma na kuzoeana na watu lakini hawakufanya any legal procedure ya kuomba uraia wa Tanzania.
 
Rais gani huyo? Samia anamjua? CCM wanamjua? Nani alimpa Urais? Nani alimpitisha kugombea Urais?
Ndio maana watu wanataka CCM mtoke madarakani kama mnakiri kutuletea mgeni kuwa Rais basi hamfai kuongoza nchi!
Kigogo Media anamjua.
Anasema jamaa mmoja raia wa kigeni alifanikiwa kuwa rais wa nchi hii. Lakini Mungu amemuondoa yule.
 
Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.

So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole.

Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais anaesemekana kuingia Nchini kutoka Nchi jirani akiwa mtoto. Watanzania tunajuana Kwa tabia za Uungwana.

========

"Uraia wa Tajnisi kwamba mgeni amefika Tanzania ameishi na kwa mujibu wa sheria inasema kwamba awe ameishi kwa kipindi kisichopungua miaka 10.

"Atapata haki zingine zote isipokuwa hawezi kugombea zile nafasi za juu za uongozi kama Rais. Lakini ubunge anaweza kugombea na anaweza kuwa Waziri. Kwa level ya Urais hawezi kugombea ile nafasi ni kwa ajili ya raia wa Tanzania kwa kuzaliwa tu" Paul John Msele msele, Mrakibu wa jeshi la Uhamiaji.

Clouds

My Take
Kama hili la Uraia linasumbua hivi,Swala la Uraia Pacha ndio halitakaa liwezekane.
Je mtoto aliyezaliwa Tanzania na wazazi wakimbizi kutoka nje ya Tanzania anaruhusiwa kugombea URAIS ?
 
Unajitoa ufahamu? Muulize Kigogo
Kwamba kizimkazi katokea kwa mabinamu zake sijui ngoja nianze
1. Nyerere mtoto typical wa mzee Burito. Ingaw kama ilivyo mimi na wewe babu zake babu zao walitokea kwa PAKA
2. Mwinyi huyu typically ni mtoto wa kisarawe
3. Mkapa yule ni mmakua
4. Nani asiye mjua kikwete mtoto wa DC???
5. Magufuli amekulia ugali tangu akiwa na siku tatu ni mchunga ng'ombe mashuhuri pale kijijini. Ni mwalimu wa kemia

Jamani tutegulieni hilo fumbo.... kama yupo tumuondoe aende kwao
 
Kama watu watafikiri kauli hii inajibu hoja ya CDF, basi wanakosea sana.
CDF hakuongelea watanzania wenye uraia wa kujiandikisha. Aliongelea ambao wamejipachika uraia baada tu ya kufanikiwa kuishi nchini, kusoma na kuzoeana na watu lakini hawakufuaya any legal procedure ya kuomba uraia wa Tanzania.
Big point !
 
Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.

So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole.

Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais anaesemekana kuingia Nchini kutoka Nchi jirani akiwa mtoto. Watanzania tunajuana Kwa tabia za Uungwana.

========

"Uraia wa Tajnisi kwamba mgeni amefika Tanzania ameishi na kwa mujibu wa sheria inasema kwamba awe ameishi kwa kipindi kisichopungua miaka 10.

"Atapata haki zingine zote isipokuwa hawezi kugombea zile nafasi za juu za uongozi kama Rais. Lakini ubunge anaweza kugombea na anaweza kuwa Waziri. Kwa level ya Urais hawezi kugombea ile nafasi ni kwa ajili ya raia wa Tanzania kwa kuzaliwa tu" Paul John Msele msele, Mrakibu wa jeshi la Uhamiaji.

Clouds

My Take
Kama hili la Uraia linasumbua hivi,Swala la Uraia Pacha ndio halitakaa liwezekane.
Pia anaweza kuwa Mwenyekiti wa CCM taifa.
 
Kwamba kizimkazi katokea kwa mabinamu zake sijui ngoja nianze
1. Nyerere mtoto typical wa mzee Burito. Ingaw kama ilivyo mimi na wewe babu zake babu zao walitokea kwa PAKA
2. Mwinyi huyu typically ni mtoto wa kisarawe
3. Mkapa yule ni mmakua
4. Nani asiye mjua kikwete mtoto wa DC???
5. Magufuli amekulia ugali tangu akiwa na siku tatu ni mchunga ng'ombe mashuhuri pale kijijini. Ni mwalimu wa kemia

Jamani tutegulieni hilo fumbo.... kama yupo tumuondoe aende kwao
Mabinamu zake wapi? Huyo huyo aliyekulia Kijijini kuchunga Ng'ombe alitokea wapi?
 
Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.

So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole.

Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais anaesemekana kuingia Nchini kutoka Nchi jirani akiwa mtoto. Watanzania tunajuana Kwa tabia za Uungwana.

========

"Uraia wa Tajnisi kwamba mgeni amefika Tanzania ameishi na kwa mujibu wa sheria inasema kwamba awe ameishi kwa kipindi kisichopungua miaka 10.

"Atapata haki zingine zote isipokuwa hawezi kugombea zile nafasi za juu za uongozi kama Rais. Lakini ubunge anaweza kugombea na anaweza kuwa Waziri. Kwa level ya Urais hawezi kugombea ile nafasi ni kwa ajili ya raia wa Tanzania kwa kuzaliwa tu" Paul John Msele msele, Mrakibu wa jeshi la Uhamiaji.

Clouds

My Take
Kama hili la Uraia linasumbua hivi,Swala la Uraia Pacha ndio halitakaa liwezekane.
Hivi majizi yote,mafisadi yote, yaliyopiga Mali za, Nchi hii, ni raia wa, wapi? Mkapa aliuza madini yetu, mashirika ya umma, nyumba za serikali, na mwenyewe akqjiuzia ikulu ndogo! Kikwete akauza gesi yetu, akaingia mikataba mibovu ya madini,
Ukiona wizi, mkubwa unafanyika wa rasilimali za umma, Raisi wa Nchi anahusika, tusikwepe na kulaumu wengine, Mkapa, Mwinyi, Kilwete, Samia, hawa ndio wapiga deal wakuu, au, jamaa zao, ndio wanaiba!
Sasa hawa ni raia wa wapi?
 
Rais gani huyo? Samia anamjua? CCM wanamjua? Nani alimpa Urais? Nani alimpitisha kugombea Urais?
Ndio maana watu wanataka CCM mtoke madarakani kama mnakiri kutuletea mgeni kuwa Rais basi hamfai kuongoza nchi!
Ayo ni maneno ya mleta uzi na sio Idara ya uhamiaji. Tumia akili.
 
Vipi wahamiaji haramu, point ya CDF ipo kwa wahamiaji haramu kuteuliwa kwenye nafasi za kimaamuzi.........

Je, hao walioomba uraia hawawezi kubaki na elements za asili walikotoka na potentially wakawa tishio la usalama wa nchi pale wanapoingia kwenye nafasi nyingi za kimaamuzi ikiwemo ubunge, uwaziri na nafasi nyeti kama TISS, JWTZ, Uhamiaji, NIDA, kimkakati zaidi?
 
Mgeni hafai kupewa nafasi yoyote nchi ishapata uhuru raia wa Tanzania tu ndio wanaotakiwa kupata nyadhifa hizo
Maana hata hao wanaopewa uraia huwezi jua mikakati yao iliyojificha, kwa sasa watanzania wapo wengi walioelimika na kuwa na uwezo wa mambo mbalimbali, kuna haja gani ya kujikomba kwa raia wahamiaji....​
 
Hili hoja watu wanajaribu kuipindisha aidha kwa kutoelewa au kwa makusudi. Lakini hofu aliyoipata CDF hadi kuamua kufunguka vile ni kuwa wapo wakimbizi ambao wamejipenyeza hadi kupata ajira serikalini na wengine kuteuliwa lakini wana nia ovu na Taifa letu,siyo wageni wote wako hivyo lakini wapo ambao ni kama sleeping agents wapo kwa mission maalum kungojea wakati muafaka wa kutekeleza lile walilolijia,na siyo siri ni Kagame ndiye amepenyeza watu wake humu kwa nia ovu. Kuna uzi humu wa jinsi Marehemu Christopher Mtikila alivyoeleza kwa kirefu conspiracy hii ya Kagame na nafikiri ndiyo ilipelekea kifo chake kwani wote tunamjua Kagame anavyowamaliza wapinzani wake hata wakiwa ugenini. Tusilipuuzie jambo hili,CDF ni mtu mkubwa sana na yuko Well informed kauli yake haikutoka kwa bahati mbaya. Siyo wageni wote ni wabaya.
 
ukiwa na katiba bora na imara ,hutapata shida hata kidogo.mtu akichaguliwa kama akizingua mnamtoa mnaweka mwegine .hapo shida iko wapi? kuna raia wa kuzaliwa hawa uzalendo kabisa .afadhali hata mgeni ambaye kapata uraia unaweza kukuta ana uzalendo kabisa .mijizi imejaa tena raia wa kuzaliwa .anywhere ,tunaitaji kuwa makini maana yawezeka kuwa wengine ni majasusi.the most important ni kuwa na mifumo imara.
 
Mbona maza kwao ni Oman?
Na wewe pia lazima utueleze ni lini uliingia nchini, kuwa memba wa JF tu bila ya kujua sheria za nchi yetu haikupi uhalali wowote wa kuwa uraia! Hizi dharau za kuwa maza kwao ni Omani unazitoa wapi? yaani Vyombo husika vilishindwa kufanya kazi yake?
 
Back
Top Bottom