Pre GE2025 Uhamiaji: Mgeni Aliyeomba Uraia wa Tanzania anaweza kuwa Mbunge au Waziri ila haruhusiwi kuwa Rais

Pre GE2025 Uhamiaji: Mgeni Aliyeomba Uraia wa Tanzania anaweza kuwa Mbunge au Waziri ila haruhusiwi kuwa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na wewe pia lazima utueleze ni lini uliingia nchini, kuwa memba wa JF tu bila ya kujua sheria za nchi yetu haikupi uhalali wowote wa kuwa uraia! Hizi dharau za kuwa maza kwao ni Omani unazitoa wapi? yaani Vyombo husika vilishindwa kufanya kazi yake?
Kwani kuwa memba wa JF lazima uwe Tz? unamjua maza gani?
 
ukiwa na katiba bora na imara ,hutapata shida hata kidogo.mtu akichaguliwa kama akizingua mnamtoa mnaweka mwegine .hapo shida iko wapi? kuna raia wa kuzaliwa hawa uzalendo kabisa .afadhali hata mgeni ambaye kapata uraia unaweza kukuta ana uzalendo kabisa .mijizi imejaa tena raia wa kuzaliwa .anywhere ,tunaitaji kuwa makini maana yawezeka kuwa wengine ni majasusi.the most important ni kuwa na mifumo imara.
Hivi unawajua watusi wewe?? Wale jamaa achana nao kabisaaaa!! Ni bora Hamas
 
Hili hoja watu wanajaribu kuipindisha aidha kwa kutoelewa au kwa makusudi. Lakini hofu aliyoipata CDF hadi kuamua kufunguka vile ni kuwa wapo wakimbizi ambao wamejipenyeza hadi kupata ajira serikalini na wengine kuteuliwa lakini wana nia ovu na Taifa letu,siyo wageni wote wako hivyo lakini wapo ambao ni kama sleeping agents wapo kwa mission maalum kungojea wakati muafaka wa kutekeleza lile walilolijia,na siyo siri ni Kagame ndiye amepenyeza watu wake humu kwa nia ovu. Kuna uzi humu wa jinsi Marehemu Christopher Mtikila alivyoeleza kwa kirefu conspiracy hii ya Kagame na nafikiri ndiyo ilipelekea kifo chake kwani wote tunamjua Kagame anavyowamaliza wapinzani wake hata wakiwa ugenini. Tusilipuuzie jambo hili,CDF ni mtu mkubwa sana na yuko Well informed kauli yake haikutoka kwa bahati mbaya. Siyo wageni wote ni wabaya.
ni kweli kabisa .maana kuna makabila mengine wa nchi fulani wana agenda za siri za zaidi ya miaka 50.PK ni mmoja wao .
 
Hivi unawajua watusi wewe?? Wale jamaa achana nao kabisaaaa!! Ni bora Hamas
those people i know them correctly .plan yao inaweza kukaa zaidi ya miaka hamsini.mnaweza kukaa pamoja mnakunywa bia pamoja lakini kumbe moyoni analo jambo lake .they always dream to make tutsi empire
 
Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.

So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole.

Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais anaesemekana kuingia Nchini kutoka Nchi jirani akiwa mtoto. Watanzania tunajuana Kwa tabia za Uungwana.

========

"Uraia wa Tajnisi kwamba mgeni ame
fika Tanzania ameishi na kwa mujibu wa sheria inasema kwamba awe ameishi kwa kipindi kisichopungua miaka 10.

"Atapata haki zingine zote isipokuwa hawezi kugombea zile nafasi za juu za uongozi kama Rais. Lakini ubunge anaweza kugombea na anaweza kuwa Waziri. Kwa level ya Urais hawezi kugombea ile nafasi ni kwa ajili ya raia wa Tanzania kwa kuzaliwa tu" Paul John Msele msele, Mrakibu wa jeshi la Uhamiaji.

Clouds

My Take
Kama hili la Uraia linasumbua hivi,Swala la Uraia Pacha ndio halitakaa liwezekane.

Kwanini basi wasiyamalize huko ndani wanaleta confusion Kwa raia? Majeshi yakianza kuingizwa kwenye siasa where exactly are we heading kama siyo kwenye kuvunja amani ya taifa hili ambalo halijui vita wala vurugu? Guys, mmepewa dhamana ya kutuongoza msituletee vurugu katika nchi yetu Kwa maslahi yenu binafsi
 
Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.

So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole.

Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais anaesemekana kuingia Nchini kutoka Nchi jirani akiwa mtoto. Watanzania tunajuana Kwa tabia za Uungwana.

========

"Uraia wa Tajnisi kwamba mgeni amefika Tanzania ameishi na kwa mujibu wa sheria inasema kwamba awe ameishi kwa kipindi kisichopungua miaka 10.

"Atapata haki zingine zote isipokuwa hawezi kugombea zile nafasi za juu za uongozi kama Rais. Lakini ubunge anaweza kugombea na anaweza kuwa Waziri. Kwa level ya Urais hawezi kugombea ile nafasi ni kwa ajili ya raia wa Tanzania kwa kuzaliwa tu" Paul John Msele msele, Mrakibu wa jeshi la Uhamiaji.

Clouds

My Take
Kama hili la Uraia linasumbua hivi,Swala la Uraia Pacha ndio halitakaa liwezekane.
Sawa lakini,
vip kuhusu uzalendo,
Raia mhamiaji atakuwa Mzalendo wa nchi aliyohamia zaidi ya raia Mzawa?
 
Jiwe alikuwa mtanzania?
 
Rais gani huyo? Samia anamjua? CCM wanamjua? Nani alimpa Urais? Nani alimpitisha kugombea Urais?
Ndio maana watu wanataka CCM mtoke madarakani kama mnakiri kutuletea mgeni kuwa Rais basi hamfai kuongoza nchi!
Ccm ni zaidi ya zimwi
 
Lakini labda haufahamu kwamba hata hayo yanayoitwa maandamano ya Chadema yemeratibiwa na hao hao CCM kushirikiana na viongozi wa chadema ambao hata raisi wa ccm alitoa mamilioni ya fedha kumkabidhi mbowe kujengea kanisa kwao na hata akasema (Mbowe) kwamba ni ccm wamempa hizo hela za kujengea kanisa.

sasa swali kwako, ccm uwatoe nani aje? chadema ya mbowe na tundu lisu ambaye hata holliday kusafiri nje analipiwa na ccm? au zito kabwe ?
Wewe ni zaidi ya bwegemtozeni Sasa habari za CDM zinatokea wapi?
 
Swala sio Asili Bali alizaliwa Zanzibar/Tanzania au hapana? Babu ndio wa Oman ila baba yake ni Mzanzibar.

Je waliozaliwa Nje ya Nchi na wakaletwa Tanganyika nani raia kati Yao na Samia aliyezaliwa Zanzibar ila ana mababu Oman? GwaB
 
Ametumwa na nani kufafanua hilo Jambo, taarifa ya CDF Kwa Amiri jeshi mkuu imejitosheleza kabisa. Kazi ni kwetu kungojea mrejesho au kimya kikiwa kingi ni kupaza sauti, ustawi wa Tanzania unajengwa na Watanzania na si wageni ambao uzalendo kwao mdogo sana.
Kama taifa tulikuwa kwenye kipindi kigumu sana ktk historia ya Taifa letu
 
Sawa lakini,
vip kuhusu uzalendo,
Raia mhamiaji atakuwa Mzalendo wa nchi aliyohamia zaidi ya raia Mzawa?
Uzalendo wa mhamiaji ni mdogo kuliko aliyezaliwa Tzn na wazee wenye Asili ya Nje ya Nchi
 
Back
Top Bottom