Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali iliangalie hili swala kwa mapana zaidiMaana hata hao wanaopewa uraia huwezi jua mikakati yao iliyojificha, kwa sasa watanzania wapo wengi walioelimika na kuwa na uwezo wa mambo mbalimbali, kuna haja gani ya kujikomba kwa raia wahamiaji....
Mbona jiwe mkabila umemuacha mpiga dili nae ,Hivi majizi yote,mafisadi yote, yaliyopiga Mali za, Nchi hii, ni raia wa, wapi? Mkapa aliuza madini yetu, mashirika ya umma, nyumba za serikali, na mwenyewe akqjiuzia ikulu ndogo! Kikwete akauza gesi yetu, akaingia mikataba mibovu ya madini,
Ukiona wizi, mkubwa unafanyika wa rasilimali za umma, Raisi wa Nchi anahusika, tusikwepe na kulaumu wengine, Mkapa, Mwinyi, Kilwete, Samia, hawa ndio wapiga deal wakuu, au, jamaa zao, ndio wanaiba!
Sasa hawa ni raia wa wapi?
Mwenye mamlaka ya kuzungumzia uraia ni nani kati ya CDF,UHAMIAJI AU IGP?Hili hoja watu wanajaribu kuipindisha aidha kwa kutoelewa au kwa makusudi. Lakini hofu aliyoipata CDF hadi kuamua kufunguka vile ni kuwa wapo wakimbizi ambao wamejipenyeza hadi kupata ajira serikalini na wengine kuteuliwa lakini wana nia ovu na Taifa letu,siyo wageni wote wako hivyo lakini wapo ambao ni kama sleeping agents wapo kwa mission maalum kungojea wakati muafaka wa kutekeleza lile walilolijia,na siyo siri ni Kagame ndiye amepenyeza watu wake humu kwa nia ovu. Kuna uzi humu wa jinsi Marehemu Christopher Mtikila alivyoeleza kwa kirefu conspiracy hii ya Kagame na nafikiri ndiyo ilipelekea kifo chake kwani wote tunamjua Kagame anavyowamaliza wapinzani wake hata wakiwa ugenini. Tusilipuuzie jambo hili,CDF ni mtu mkubwa sana na yuko Well informed kauli yake haikutoka kwa bahati mbaya. Siyo wageni wote ni wabaya.
Kwanza tulikuwa tunawaita "Wahamiaji Haramu" na sasa tunawaita "Raia wa Najisi" aisee!!! Sijui baadae tutawaitaje?!Uraia wa Tajnisi kwamba mgeni amefika Tanzania ameishi na kwa mujibu wa sheria
PK ana kiburi na dharau sana,nakumbuka aliwahi kumpiga biti JK akiwa Rais kuwa anauwezo wa kumpiga wakati wowote akiamua,ila baada ya wale mbwa wake M23 kule DRC kupokea kipigo cha shalubela toka wanajeshi wetu waliokuwa kule akapunguza makeke,lakini bado ana nia ovu sana na nchi yetu na kweli amepandikiza watu wake kila sehemu. Nakumbuka miaka kadhaa kuna ofisa mmoja wa Jeshi letu alitoroka na kwenda kusikojulikana alikuwa mtu wake aliyempandikiza kwenye jeshi letu. CDF amenusa hatari kubwa asipuuzwe.ni kweli kabisa .maana kuna makabila mengine wa nchi fulani wana agenda za siri za zaidi ya miaka 50.PK ni mmoja wao .
CDF ametoa taarifa kwa CIC sasa ni juu ya Rais kulifanyia kazi kutumia vyombo vyakeMwenye mamlaka ya kuzungumzia uraia ni nani kati ya CDF,UHAMIAJI AU IGP?
Ni yupi anazo takwimu za ndani kabisa za raia wa asili,kuzaliwa na kuomba ndani ya Nchi hii kati ya hao?
Todo kotebi.Mbona kama vile kuna mtu anataka kugombea urais.
Anaambiwa sasa hawezi sababu ni mhamiaji.
Mnajichanganya sana nyie!. Kwa hiyo Samia kuzaliwa Tanzania wakati asili yake ni Oman sheria zinaruhusu Lakini watu waliotuhumiwa na Mkuu wa majeshi si wana asili ya nchi jirani? Si wana mababu zao huko pia? Hii double standard inatoka wapi kwa uhamiaji kutaka kuonyeshwa hata makaburi ya kizazi cha tatu nyuma kwa mikoa ya magharibi ya JMT ? 😳Swala sio Asili Bali alizaliwa Zanzibar/Tanzania au hapana? Babu ndio wa Oman ila baba yake ni Mzanzibar.
Je waliozaliwa Nje ya Nchi na wakaletwa Tanganyika nani raia kati Yao na Samia aliyezaliwa Zanzibar ila ana mababu Oman? GwaB
Baba yake Samia mzanzibari hata kama alizaliwa Zanzibar si baba yake (Babu yake Samia) si ni muomani? ... Oman ni sehemu ya JMT?Swala sio Asili Bali alizaliwa Zanzibar/Tanzania au hapana? Babu ndio wa Oman ila baba yake ni Mzanzibar.
Je waliozaliwa Nje ya Nchi na wakaletwa Tanganyika nani raia kati Yao na Samia aliyezaliwa Zanzibar ila ana mababu Oman? GwaB
Mbona Waasia (Wahindi Wachina Wabengali Wapakistani)ndio wanaomba Uraia kwa wingi sana kuliko hata Waafrika wenzetu lakini huoni watu wakihoji dhamira yao.Maana hata hao wanaopewa uraia huwezi jua mikakati yao iliyojificha, kwa sasa watanzania wapo wengi walioelimika na kuwa na uwezo wa mambo mbalimbali, kuna haja gani ya kujikomba kwa raia wahamiaji....
Huu ujinga muwe mnadanganyana wenyewe uko.hizi sio zama zakuendekeza propaganda za kijinga.
Ndio Sasa Samia anaweza kujivunia kuwa Mu Oman au Mtanzania? Obama ni Mkenya au Mu America?Baba yake Samia mzanzibari hata kama alizaliwa Zanzibar si baba yake (Babu yake Samia si ni muomani? ... Oman ni sehemu ya JMT?
Hata akiwa mfuasi wa Chadema anaweza kugombea udiwani tukiacha ubunge?Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.
So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole.
Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais anaesemekana kuingia Nchini kutoka Nchi jirani akiwa mtoto. Watanzania tunajuana Kwa tabia za Uungwana.
========
"Uraia wa Tajnisi kwamba mgeni amefika Tanzania ameishi na kwa mujibu wa sheria inasema kwamba awe ameishi kwa kipindi kisichopungua miaka 10.
"Atapata haki zingine zote isipokuwa hawezi kugombea zile nafasi za juu za uongozi kama Rais. Lakini ubunge anaweza kugombea na anaweza kuwa Waziri. Kwa level ya Urais hawezi kugombea ile nafasi ni kwa ajili ya raia wa Tanzania kwa kuzaliwa tu" Paul John Msele msele, Mrakibu wa jeshi la Uhamiaji.
Clouds
My Take
Kama hili la Uraia linasumbua hivi,Swala la Uraia Pacha ndio halitakaa liwezekane.
Tunaongelea uraia pacha wa Samia vis à vis Tanzania na Oman ... Mfano wako wa Obama hauna mashiko! .... Swali ni Je, Tanzania inaruhusu uraia pacha?Ndio Sasa Samia anaweza kujivunia kuwa Mu Oman au Mtanzania? Obama ni Mkenya au Mu America?
Kweni TANU wakati wanakabiziwa walikuwa na uzoefu gani?In a serious note , taja mpinzani wa kumpa nchi badala ya CCM ?
Mbowe ?
ZZK ?
Tunataka kutoa nchi kutoka CCM , ila hatuoni wa kumpa
It is a naked and painful truth