Pre GE2025 Uhamiaji: Mgeni Aliyeomba Uraia wa Tanzania anaweza kuwa Mbunge au Waziri ila haruhusiwi kuwa Rais

Pre GE2025 Uhamiaji: Mgeni Aliyeomba Uraia wa Tanzania anaweza kuwa Mbunge au Waziri ila haruhusiwi kuwa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Inawezekana kabisa. Inawezekana ni sehemu ya kampeni watu wanajipanga.

Ukijipendekeza kuwania urais tu, watu wanakupa kesi ya uhamiaji ya kufukua mpaka 1860s huko.

CDF anaongeaje hadharani mambo haya kama hana access ya kuongea na rais privately?
Mimi niliwaza kuwa Jamaa ametumika kutisha watu fulani kwa kisingizio cha Uraia.

Ngoja tuone itaishaje
 
Mimi niliwaza kuwa Jamaa ametumika kutisha watu fulani kwa kisingizio cha Uraia.

Ngoja tuone itaishaje
Nchi haina vitambulisho vya uraia vya kueleweka, utatishiaje watu suala la uraia?
 
Kwa hiyo kuwa Naibu Waziri Mkuu ni sawa? Kwa sababu amesema kuwa endapo wakiomba uraia, ni vizuri autangazie umma Naibu Waziri Mkuu na hawa wengine wanaotajwa, kama waliwahi kuomba uraia wa Tanzania, waliomba lini na walipewa lini.
Hivi kumbe kuna cheo cha naibu waziri mkuu? Duh.! hizi hustle za kujitafutia ugali zinanifanya nipitwe na mambo ya muhimu. Ni nani uyo naibu waziri mkuu?
 
Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.

So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole.

Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais anaesemekana kuingia Nchini kutoka Nchi jirani akiwa mtoto. Watanzania tunajuana Kwa tabia za Uungwana.

========


"Uraia wa Tajnisi kwamba mgeni amefika Tanzania ameishi na kwa mujibu wa sheria inasema kwamba awe ameishi kwa kipindi kisichopungua miaka 10.

"Atapata haki zingine zote isipokuwa hawezi kugombea zile nafasi za juu za uongozi kama Rais. Lakini ubunge anaweza kugombea na anaweza kuwa Waziri. Kwa level ya Urais hawezi kugombea ile nafasi ni kwa ajili ya raia wa Tanzania kwa kuzaliwa tu" Paul John Msele msele, Mrakibu wa jeshi la Uhamiaji.

Clouds

My Take
Kama hili la Uraia linasumbua hivi,Swala la Uraia Pacha ndio halitakaa liwezekane.
STUPID
 
Lakini labda haufahamu kwamba hata hayo yanayoitwa maandamano ya Chadema yemeratibiwa na hao hao CCM kushirikiana na viongozi wa chadema ambao hata raisi wa ccm alitoa mamilioni ya fedha kumkabidhi mbowe kujengea kanisa kwao na hata akasema (Mbowe) kwamba ni ccm wamempa hizo hela za kujengea kanisa.

sasa swali kwako, ccm uwatoe nani aje? chadema ya mbowe na tundu lisu ambaye hata holliday kusafiri nje analipiwa na ccm? au zito kabwe ?
🙄🤔🔊
 
Kama watu watafikiri kauli hii inajibu hoja ya CDF, basi wanakosea sana.
CDF hakuongelea watanzania wenye uraia wa kujiandikisha. Aliongelea ambao wamejipachika uraia baada tu ya kufanikiwa kuishi nchini, kusoma na kuzoeana na watu lakini hawakufanya any legal procedure ya kuomba uraia wa Tanzania.
Kama nani mmojawapo?
 
Rais gani huyo? Samia anamjua? CCM wanamjua? Nani alimpa Urais? Nani alimpitisha kugombea Urais?
Ndio maana watu wanataka CCM mtoke madarakani kama mnakiri kutuletea mgeni kuwa Rais basi hamfai kuongoza nchi!
Aliyempa urais mgeni naye alikuwa mgeni.
 
CDF alikua clear alisema wakimbizi huyu tutusa anakuja na habari za wageni walioomba uraia.

haya ndio matatizo ya kuwa na failures kwenye nafasi kubwa kubwa na ndio hao hao wajinga wanaotoa pasi kwa wageni.
 
Kama nani mmojawapo?
Yusuf Makamba akiwa Katibu Mkuu wa CCM, wakati akitaja sababu ya mmoja wa waligombea tiketi ya ubunge kupitia CCM aliwahi kumtaja mmoja walioshinda tiketi hiyo na kusema si raia ndiyo maana wamemkata.
 
Kigogo Media anamjua.
Anasema jamaa mmoja raia wa kigeni alifanikiwa kuwa rais wa nchi hii. Lakini Mungu amemuondoa yule.
Mmmmhhh?!, kuna wakati niliamini mtandao wa jamii forum umejaa watu makini,kumbe hakuna,humu zimejaa takataka na mitu mijinga ya ajabu.
 
Kwamba kizimkazi katokea kwa mabinamu zake sijui ngoja nianze
1. Nyerere mtoto typical wa mzee Burito. Ingaw kama ilivyo mimi na wewe babu zake babu zao walitokea kwa PAKA
2. Mwinyi huyu typically ni mtoto wa kisarawe
3. Mkapa yule ni mmakua
4. Nani asiye mjua kikwete mtoto wa DC???
5. Magufuli amekulia ugali tangu akiwa na siku tatu ni mchunga ng'ombe mashuhuri pale kijijini. Ni mwalimu wa kemia

Jamani tutegulieni hilo fumbo.... kama yupo tumuondoe aende kwao
Unajua kuna watu humu kazi yao ni kuzusha uongo,jpm eti alikuja mtoto?!,huyu mtoto wa mwababudodi,mtoto wa mchunga ng'ombe na mkulima,makabuli ya bibi zake na babu zake yanajulikana yalipo,na hata yeye alipoanza mbio za kutafuta urais ilibidi kuanza kujenga hayo makabuli ya ukoo wake!?,leo anatoke mpumbavu anasema jpm ni mkimbizi!!??.
 
Ukiwa ni mgeni Tanganyika unaweza ukashamgaa sana siasa zinazopigwa pindi ukaribiapo uchaguzi.
Hizi ni siasa tu huenda kwakuwa wana hofu na mtu flani hivyo CDF anatumika kisiasa ili km itatokea huyo mtu wanaemhofia akagombea,basi neno muhamiaji au mkimbizi litumike km sehemu ya prpaganda yao na lisiwe geni masikioni mwa mbumbu a.k.a wanyonge na iwe rahisi kutomkubali.

Km ilikusudiwa na kweli hao watu wapo kwenye ngazi za juu za maamzi lilikuwa siyo jambo la CDF kupewa autangazie umma bali kuwawajibisha walioruhusu hilo litokee ama kufanya marekebisho ya dosari zilizo jitokeza.

Nawarudisha nyuma mwaka 2010,hapa Mkamba Sr akiwa KM wa CCM halafu Slaa akiwa mioyoni mwa Watanganyika. Ghafla tu ikaonekana Slaa ana mke wa mtu na ikawa agenda ya wanyonge.

Fanyeni kazi acheni mijadala ambayo itakoma baada ya uchaguzi wa 2025.
Haya mambo hua yanaletwa public baada ya viongozi kufikishiwa taarifa na kuto chukua taarifa

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Yusuf Makamba akiwa Katibu Mkuu wa CCM, wakati akitaja sababu ya mmoja wa waligombea tiketi ya ubunge kupitia CCM aliwahi kumtaja mmoja walioshinda tiketi hiyo na kusema si raia ndiyo maana wamemkata.
Niliqahinkusomahumuhumu JF kuna mtu aliandika, Bashiru nae ni mkimbizi.

Ya JF kama sote tunavyoelewa, ya JF changanya na yako.
 
Lakini labda haufahamu kwamba hata hayo yanayoitwa maandamano ya Chadema yemeratibiwa na hao hao CCM kushirikiana na viongozi wa chadema ambao hata raisi wa ccm alitoa mamilioni ya fedha kumkabidhi mbowe kujengea kanisa kwao na hata akasema (Mbowe) kwamba ni ccm wamempa hizo hela za kujengea kanisa.

sasa swali kwako, ccm uwatoe nani aje? chadema ya mbowe na tundu lisu ambaye hata holliday kusafiri nje analipiwa na ccm? au zito kabwe ?
Kwahiyo mlitoa rushwa kwa mbowe
 
Back
Top Bottom