DOKEZO Uhamiaji nendeni nyumba za wageni za Mbagala Zakhem kagueni kila usiku mtakuta Wasomali na Waethiopia wamefichwa kusubiri kusafirishwa

DOKEZO Uhamiaji nendeni nyumba za wageni za Mbagala Zakhem kagueni kila usiku mtakuta Wasomali na Waethiopia wamefichwa kusubiri kusafirishwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Muda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili.

Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria kula kupandishwa ndege kusafirishwa kuelekea kwenda Joburg (Johannesburg) Afrika Kusini.

Nendeni mida kama hii saba mpaka kumi usiku.

Mtupe na mrejesho wa idadi ya mliowakuta.
 
Ukisikia roho mbaya za kichawi ndo hizi, ndo maana wabongo wengi hata passport hawana sababu ya kuogopa safari. Mbongo yeyote aliyesafiri akavuka mipaka ya Tanzania hawezi kuja kuchoma watu wanaopambana kutafuta maisha.

Hivi mu Ethiopia akilala Mbagala wiki moja huku akichangia kipato gesti na vyakula mchana usiku, baadae akapanda basi au ndege kuelekea South Africa wewe na umaskini wako unapungukiwa nini?,au nini kinaongezeka kwenye maisha yako!?

Wakikamatwa wakatozwa hela wakaruhusiwa kwenda mbele kwenye akaunti yako zinaongezeka shilingi ngapi!? Mambo mengine jifunzeni kuwa mnayaona na kukausha, hao wa Ethiopia hawajachagua kukimbia nchi yao, ni hali ngumu ya maisha.

Nyie ndo kipindi cha utumwa mlikuwa mnawaonesha waarabu, Babu zetu walipojificha kwa malipo ya slice za mikate. Mpumbavu kabisa mleta mada huna akili, na nahisi unakula na kulala kwa shemeji.
 
Ukisikia roho mbaya za kichawi ndo hizi, ndo maana wabongo wengi hata passport hawana sababu ya kuogopa safari. Mbongo yeyote aliyesafiri akavuka mipaka ya Tanzania hawezi kuja kuchoma watu wanaopambana kutafuta maisha. Hivi mu Ethiopia akilala Mbagala wiki moja huku akichangia kipato gesti na vyakula mchana usiku, baadae akapanda basi au ndege kuelekea South Africa wewe na umaskini wako unapungukiwa nini?,au nini kinaongezeka kwenye maisha yako!?,.., wakikamatwa wakatozwa hela wakaruhusiwa kwenda mbele kwenye akaunti yako zinaongezeka shilingi ngapi!?,mambo mengine jifunzeni kuwa mnayaona na kukausha, hao wa Ethiopia hawajachagua kukimbia nchi yao, ni hali ngumu ya maisha. Nyie ndo kipindi cha utumwa mlikuwa mnawaonyesha waarabu, Babu zetu walipojificha kwa malipo ya slice za mikate. Mpumbavu kabisa mleta mada huna akili, na nahisi unakula na kulala kwa shemeji.
Mngaji mmoja ww
 
Muda si mrefu tutawapa na serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila alhamisi mpaka jpili

Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria kula pipa kwenda Joberg...

Nenden mida kama hii saba mpaka kumi usiku......

Mtupe na mrejesho wa idadi ya mliowakuta...
Huku biashara ya gesti ni ngumu hata wale wa shotitaimu siku hizi hawapatikani sasa wewe unaleta za kuletwa unataka kutukimbizia maokoto sijui tukale wapi!
 
Muda si mrefu tutawapa na serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila alhamisi mpaka jpili

Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria kula pipa kwenda Joberg...

Nenden mida kama hii saba mpaka kumi usiku......

Mtupe na mrejesho wa idadi ya mliowakuta...
Acha wivu mkuu watu wanaenda joberg huku acha tuchukue dollar zao
 
Sheria zizingatiwe. Hatuwezi ruhusu kila mtu aingie nchini kwa kumuonea huruma anapita kwenda kutafuta maisha.

Kumbuka hata Kenya miaka ya nyuma matukio kama West gate na mengineyo yalipelekea mamia ya watu kufariki kwa sababu ya kuruhusu uzembe kama huu. Hongera sana mtoa mada
 
Ukisikia roho mbaya za kichawi ndo hizi, ndo maana wabongo wengi hata passport hawana sababu ya kuogopa safari. Mbongo yeyote aliyesafiri akavuka mipaka ya Tanzania hawezi kuja kuchoma watu wanaopambana kutafuta maisha. Hivi mu Ethiopia akilala Mbagala wiki moja huku akichangia kipato gesti na vyakula mchana usiku, baadae akapanda basi au ndege kuelekea South Africa wewe na umaskini wako unapungukiwa nini?,au nini kinaongezeka kwenye maisha yako!?,.., wakikamatwa wakatozwa hela wakaruhusiwa kwenda mbele kwenye akaunti yako zinaongezeka shilingi ngapi!?,mambo mengine jifunzeni kuwa mnayaona na kukausha, hao wa Ethiopia hawajachagua kukimbia nchi yao, ni hali ngumu ya maisha. Nyie ndo kipindi cha utumwa mlikuwa mnawaonyesha waarabu, Babu zetu walipojificha kwa malipo ya slice za mikate. Mpumbavu kabisa mleta mada huna akili, na nahisi unakula na kulala kwa shemeji.
Japokuwa sikubaliana na suala la kuchomana kabisa, si jambo zuri. Lakini Bwana james na ww umeleta utetezi wa kitanzania, is not about “unapungukiwa nini?”
Is about sheria na usalama wa nchi.

Hizo kauli kama zako zinasikika sana kwa wavunja sheria wakitaka kuhalalisha mambo yao, na si tu kwneye hilo hadi ufisadi, matapeli, wasafirishaji madawa ya kulevya, prositutes.

Bottom line kila mtu anatafuta riziki, but hatuwez kuzitafuta kama lawless, other wisehakuna haja ya kuwa na serikali
Kuna njia halali za kusafiri lakini sio hizo za kujana kwenye V8 kama ndizi
 
Back
Top Bottom