Japokuwa sikubaliana na suala la kuchomana kabisa, si jambo zuri. Lakini Bwana james na ww umeleta utetezi wa kitanzania, is not about “unapungukiwa nini?”
Is about sheria na usalama wa nchi.
Hizo kauli kama zako zinasikika sana kwa wavunja sheria wakitaka kuhalalisha mambo yao, na si tu kwneye hilo hadi ufisadi, matapeli, wasafirishaji madawa ya kulevya, prositutes.
Bottom line kila mtu anatafuta riziki, but hatuwez kuzitafuta kama lawless, other wisehakuna haja ya kuwa na serikali
Kuna njia halali za kusafiri lakini sio hizo za kujana kwenye V8 kama ndizi