DOKEZO Uhamiaji nendeni nyumba za wageni za Mbagala Zakhem kagueni kila usiku mtakuta Wasomali na Waethiopia wamefichwa kusubiri kusafirishwa

DOKEZO Uhamiaji nendeni nyumba za wageni za Mbagala Zakhem kagueni kila usiku mtakuta Wasomali na Waethiopia wamefichwa kusubiri kusafirishwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Usichojua hata uhalifu hutokea hivo hivo kujifanya una roho nzuri! Lingekua jambo jema isingekuepo hiyo sheria

70% ya uhalifu unaofanyika ni hawa wahamiaji halam hata huko south africa .Kwasababu hawafahamiki wao wanaweza kufanya matukio kama mauaji uporaji na kuvuka mipaka na kutokomea.
We jamaa n fala na hutakiwi kupuuzwa .Akili huna
Utajua vipi si waharifu,au hawatafanya uhalifu kipindi wakiwa nchini,utajuaje kama si magaidi,Wakipewa tenda ya kuua mtu afu wasepe mtawashikia wap??
90% ya ugaidi au uhalifu hufanyika kwa msaada wa watu kama nyinyi
Hata ugaidi wa westgate kenya ulisaidiwa na wakenya aina yako.

We akili huna na kisheria ili bidi uwe rumande inaonekana ume facilitate hujuma nyingi juu ya nchi yako!

Kama kweli wanaenda kutafuta maisha kwanini wasiende kwa njia halali??
Wa Ethiopia walio SA nadhani ni matajiri kuliko wageni kutoka sehemu yeyote wamemaliza kuhamisha wageni wenzao mtaa wa Bree hapo Town na wanaendelea kununua nyumba huko wanakoishi jamaa wapo serious sana na kazi zao za biashara...
 
Japokuwa sikubaliana na suala la kuchomana kabisa, si jambo zuri. Lakini Bwana james na ww umeleta utetezi wa kitanzania, is not about “unapungukiwa nini?”
Is about sheria na usalama wa nchi.

Hizo kauli kama zako zinasikika sana kwa wavunja sheria wakitaka kuhalalisha mambo yao, na si tu kwneye hilo hadi ufisadi, matapeli, wasafirishaji madawa ya kulevya, prositutes.

Bottom line kila mtu anatafuta riziki, but hatuwez kuzitafuta kama lawless, other wisehakuna haja ya kuwa na serikali
Kuna njia halali za kusafiri lakini sio hizo za kujana kwenye V8 kama ndizi
When all is said and done tatizo sheria za hovyo za uhamiaji tumerithi kutoka wakoloni. Africa ni moja tunahitaji sana free movement of labour and goods.
 
When all is said and done tatizo sheria za hovyo za uhamiaji tumerithi kutoka wakoloni. Africa ni moja tunahitaji sana free movement of labour and goods.
Tunahitaji free movement but kwa utaratibu, si kama wanyama huko porini. Dunia pia imebadilika so if sheria mpya ziwe implemented with security in mind
 
HIvi hawa watu wana athari zipi kiusalama kijamii au kiuchumi, hawatoki tanzania hawaishii hapakwetu, huko south africa hatujazikia wakikamatwa, lakini kila siku tunawasweka lupango, kwani wakilipa visa tukawagongea mihuri tukawasindikiza wakavuka wakaenda zao tutapungukiwa nini?
 
Ukisikia roho mbaya za kichawi ndo hizi, ndo maana wabongo wengi hata passport hawana sababu ya kuogopa safari. Mbongo yeyote aliyesafiri akavuka mipaka ya Tanzania hawezi kuja kuchoma watu wanaopambana kutafuta maisha.

Hivi mu Ethiopia akilala Mbagala wiki moja huku akichangia kipato gesti na vyakula mchana usiku, baadae akapanda basi au ndege kuelekea South Africa wewe na umaskini wako unapungukiwa nini?,au nini kinaongezeka kwenye maisha yako!?

Wakikamatwa wakatozwa hela wakaruhusiwa kwenda mbele kwenye akaunti yako zinaongezeka shilingi ngapi!? Mambo mengine jifunzeni kuwa mnayaona na kukausha, hao wa Ethiopia hawajachagua kukimbia nchi yao, ni hali ngumu ya maisha.

Nyie ndo kipindi cha utumwa mlikuwa mnawaonesha waarabu, Babu zetu walipojificha kwa malipo ya slice za mikate. Mpumbavu kabisa mleta mada huna akili, na nahisi unakula na kulala kwa shemeji.
Umekurupuka kumjibu
Mtu kuwa mzalendo kwa nchi yake haitaki uwe tajiri au masikini acha pigo za kishoga
 
Ukisikia roho mbaya za kichawi ndo hizi, ndo maana wabongo wengi hata passport hawana sababu ya kuogopa safari. Mbongo yeyote aliyesafiri akavuka mipaka ya Tanzania hawezi kuja kuchoma watu wanaopambana kutafuta maisha.

Hivi mu Ethiopia akilala Mbagala wiki moja huku akichangia kipato gesti na vyakula mchana usiku, baadae akapanda basi au ndege kuelekea South Africa wewe na umaskini wako unapungukiwa nini?,au nini kinaongezeka kwenye maisha yako!?

Wakikamatwa wakatozwa hela wakaruhusiwa kwenda mbele kwenye akaunti yako zinaongezeka shilingi ngapi!? Mambo mengine jifunzeni kuwa mnayaona na kukausha, hao wa Ethiopia hawajachagua kukimbia nchi yao, ni hali ngumu ya maisha.

Nyie ndo kipindi cha utumwa mlikuwa mnawaonesha waarabu, Babu zetu walipojificha kwa malipo ya slice za mikate. Mpumbavu kabisa mleta mada huna akili, na nahisi unakula na kulala kwa shemeji.
Kudadekii [emoji51]
 
Back
Top Bottom