AiseeMUDA SI.MREFU TUTAWAPA NA SERKL ZA MITAA WANAVYOONGEZEKA
MH IMMIGRATION FANYEN MSAKO WA GUEST ZA MBAGALA ZAKHEM KILA ALHAMISI MPAKA JPILI
HIZI GUEST NYINGI HUHIFADHI WAETHIOPIA WANAOSUBIRIA KULA.PIPA.KWENDA JOBERG...
NENDEN MIDAKAMA HII SABA MPAKA KUMIIUSIKU......
MTUPE.NA MREJESHO...
Mngaji mmoja wwUkisikia roho mbaya za kichawi ndo hizi, ndo maana wabongo wengi hata passport hawana sababu ya kuogopa safari. Mbongo yeyote aliyesafiri akavuka mipaka ya Tanzania hawezi kuja kuchoma watu wanaopambana kutafuta maisha. Hivi mu Ethiopia akilala Mbagala wiki moja huku akichangia kipato gesti na vyakula mchana usiku, baadae akapanda basi au ndege kuelekea South Africa wewe na umaskini wako unapungukiwa nini?,au nini kinaongezeka kwenye maisha yako!?,.., wakikamatwa wakatozwa hela wakaruhusiwa kwenda mbele kwenye akaunti yako zinaongezeka shilingi ngapi!?,mambo mengine jifunzeni kuwa mnayaona na kukausha, hao wa Ethiopia hawajachagua kukimbia nchi yao, ni hali ngumu ya maisha. Nyie ndo kipindi cha utumwa mlikuwa mnawaonyesha waarabu, Babu zetu walipojificha kwa malipo ya slice za mikate. Mpumbavu kabisa mleta mada huna akili, na nahisi unakula na kulala kwa shemeji.
Amekwambia uokote hela.Kabla haujaokota unamuuliza ni shilingi ngapi?Unashindwaje kutaja majina ya hizo lodge?
Watu wako on transit to S.A unahangaika nao wa Nini?Duh mchizi kashachoma, ngoja tubadili Lodge.
Kausha mwamba sisi tunasubiri V8 tunapita hivi sio wakaaji sisi.
Huku biashara ya gesti ni ngumu hata wale wa shotitaimu siku hizi hawapatikani sasa wewe unaleta za kuletwa unataka kutukimbizia maokoto sijui tukale wapi!Muda si mrefu tutawapa na serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila alhamisi mpaka jpili
Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria kula pipa kwenda Joberg...
Nenden mida kama hii saba mpaka kumi usiku......
Mtupe na mrejesho wa idadi ya mliowakuta...
Illegal migrants!?Hivi mu Ethiopia akilala Mbagala wiki moja huku akichangia kipato gesti na vyakula mchana usiku, baadae akapanda basi au ndege kuelekea South Africa wewe na umaskini wako unapungukiwa nini?,
Acha wivu mkuu watu wanaenda joberg huku acha tuchukue dollar zaoMuda si mrefu tutawapa na serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila alhamisi mpaka jpili
Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria kula pipa kwenda Joberg...
Nenden mida kama hii saba mpaka kumi usiku......
Mtupe na mrejesho wa idadi ya mliowakuta...
Japokuwa sikubaliana na suala la kuchomana kabisa, si jambo zuri. Lakini Bwana james na ww umeleta utetezi wa kitanzania, is not about “unapungukiwa nini?”Ukisikia roho mbaya za kichawi ndo hizi, ndo maana wabongo wengi hata passport hawana sababu ya kuogopa safari. Mbongo yeyote aliyesafiri akavuka mipaka ya Tanzania hawezi kuja kuchoma watu wanaopambana kutafuta maisha. Hivi mu Ethiopia akilala Mbagala wiki moja huku akichangia kipato gesti na vyakula mchana usiku, baadae akapanda basi au ndege kuelekea South Africa wewe na umaskini wako unapungukiwa nini?,au nini kinaongezeka kwenye maisha yako!?,.., wakikamatwa wakatozwa hela wakaruhusiwa kwenda mbele kwenye akaunti yako zinaongezeka shilingi ngapi!?,mambo mengine jifunzeni kuwa mnayaona na kukausha, hao wa Ethiopia hawajachagua kukimbia nchi yao, ni hali ngumu ya maisha. Nyie ndo kipindi cha utumwa mlikuwa mnawaonyesha waarabu, Babu zetu walipojificha kwa malipo ya slice za mikate. Mpumbavu kabisa mleta mada huna akili, na nahisi unakula na kulala kwa shemeji.