DOKEZO Uhamiaji nendeni nyumba za wageni za Mbagala Zakhem kagueni kila usiku mtakuta Wasomali na Waethiopia wamefichwa kusubiri kusafirishwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Upeo wako mdogo sana,tatizo sio Umasikini Bali usalama wa raia na utaratibu ufuatwe.Wewe ukiwa masikini mwenye roho mbaya usifikiri kila anayesimamia kweli ana Hali mbaya kama yako,badilika ndugu.Tafuta pesa acha hasira
 
Upeo wako mdogo sana,tatizo sio Umasikini Bali usalama wa raia na utaratibu ufuatwe.Wewe ukiwa masikini mwenye roho mbaya usifikiri kila anayesimamia kweli ana Hali mbaya kama yako,badilika ndugu.Tafuta pesa acha hasira
Mkuuu kumwelimisha mwenye afyaa ya akili zikiwa...shidaa sanaa huyu asaidiki
 
Wabongo hawajui kama Cocaine inayoingia Marekani inapitishwa kwa baraka za FBI.
Wapo busy kuwaponda USA wakati wao ndio walitupa hiyo mambo Wasomali ni magaidi wasipite mpaka wowote baada ya kupigwa huko kwenye vita yao Mogadishu wengi hawajui hili lilianza vip ila wapo busy kuwasapoti USA wakati sisi hatuwapangii kitu chochote na wasivyojua Wasomali ni wengi wenye Uraia huko USA kuliko hata Watanzania..
 
asichokijua
Hawa mabwana passport zao zenyewe n feki kinachofanywa n engn wa mechi kucheza na watuwa Airport. Na kuwahahakikishia joberg wanapita....

Pale joberg kuna wanaowapokea kabisa wameshamalizana na immig yakule. Jamaa wakishatuaa yule mhusika mkuu anawapeleka kwenye dawati waliomalizana nao kwa ajili ya kugonga....kifupi sio woteee waingia wanasafiri wengine wanazamia mtaan hapa ndipo shida inaanza
 
Situation ya Kenya na Tanzania ni tofauti mkuu..
1 Kenya inapakana na Somalia
2 Kenya ina Kaunti ambazo kiuhalisia zilitakiwa kuwa sehemu ya nchi ya Somalia....Wajir,Garissa,Mandela na Marsabit....ambapo inafanya Kenya kuwa na raia wengi wa asili ya Somalia...
 
Mkuuu kumwelimisha mwenye afyaa ya akili zikiwa...shidaa sanaa huyu asaidiki
Nina uhakika 100% huna passport na hujawahi safiri kwenda popote. Na unaishi kwenu, kwa dada yako au kwa shemeji. Tabia kama zako nchi nyingine unapigwa risasi ya kichwa tu, pengine ndo maana unaogopa kusafiri na unaogopa wasafiri sababu ya tabia zako za ki.senge.
 
Kama nchi yetu wanaitumia kama njia ya kupita, mimi sioni shida....
Hata
Mexico inatumika kama njia ya wahamiaji kupita na kwenda USA
 
Afya ya akili shuhulii nzitooo sanaa hahahaa
 
Umewahi kumuona mu Ethiopia mtaa gani hapa Tanzania!?,..,kumbe una taarifa za safari yao hadi wanavyopokelewa OR Tambo, Sasa roho ya kinoko ya nini!?,wakipokelewa South Africa Waka file asylum wewe kwenye umaskini wako unapungukiwa nini!?... Mkuu kubali kataa una roho fulani hivi ya kwanini!??.., una roho imekunjamana sana, watu kama nyie hata mtaani hamnaga marafiki, na mkizeeka mnakuwa WACHAWI kabisa wa tunguli.
 
Pole sanaaaa m nimezaliwa kizazi cha airline wakati Babamako wakikusanya hema ya tren m naenda shule na rebate za ndege huko mbele nikieleza ntakuaibisha tuishie hapaaa

Wazaziwakoo walichelewa sis tulianza panda ndege wadogo sana wazazi wakienda holiday tuko nao nje ya nchi

Sasa kama mzazi wako alikusubiria usome ukue ujepandaga ndege nàkusamehee sio shidayakao
 
Afya ya akili shuhulii nzitooo sanaa hahahaa
Ukweli ni kwamba una roho ya kichawi... Singizia yote ila ukweli utaambiwa tu. Pambana na maisha yako, mu Ethiopia anayepita kwenda SA sio aliyesababisha ugumu wa maisha kwako..
 
Zoezi limeanza naonaaaaa umeumukaaaa balaaaaa kwa usalama wakoo na litakuwa endelevu
 
Aaaah hakuna mtoto wa kishua mwenye ROHO kama hii ya kichawi, we endelea kulima mbaazi huko VIJIJINI TU.
 
As long wanapita muwaache waende zao kwa amani...umemind umekosa chumba na mke wa mtu ninii
 
Wabongo roho mbayaaaa ..apo atajidai mzalendo kumbe ni ubinafsi
 
Aaaah hakuna mtoto wa kishua mwenye ROHO kama hii ya kichawi, we endelea kulima mbaazi huko VIJIJINI TU.
Utatesekaaa sanaa atuwezi kufanana ati ndegeee hahaha passport sisi tumezaliwa na passport mkuu yaan ukizaliwa sooon unakamata ganda hayamasàfari unayoona fahari tunenda kama chooon wadogo mpaka wakubwa

2.kusafiri na ndege sio lazima uwe mtoto wa kisure badooo unàupungufu wa ...afya...ndege kitu cha kawaida sanasana bila kujali uko familia gan.....

Pole sana

Zoeziiiiii linaendeleeeaaaa jana kulikuwa na utambulisho kidogo nxty tunahamiaa chanukah ujue kama unaweza wajuze kabisa tukomeshe
 
wakati mmeleta kipila Riverside nakamura kamata kamataa mkafurahi zamuyenu sasa tuanze kutumbuana
 
Umewashika na madawa? wanapita tuu hao wanaenda south kutafuta maisha, acheni roho mbaya za kifala
 
Ety wataondoka lini ...we haya maisha sio kila kitu kinafata taratibu na Sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…