KERO Uhamiaji Shinyanga wanatuzungusha kutoa Passport na hakuna majibu ya kueleweka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hii ishu ya Passport naona kuna mazingira ya kuzungushwa kwa maksudi, maana hata mimi ni wiki sasa kila nikienda ofisi za Uhamiaji Shinyanga naambiwa kuna shida ya Mtandao, hata wiki jana nilienda sikuhudumiwa hadi nahisi kuchoka.

Tunaomba mzitaarifu mamlaka za juu maana haya mambo yanakita mizizi sasa hasa kama hakuna wakusemea.

Hongo zinaombwa kama huna mkubwa wa kusaidia kurahisisha mchakato, ikiwa umenyooka ndiyo tunakumbana na changamoto kama hizo za kuzungushwa kwa makusudi.
 
Kulingana na taarifa nilizosoma kwenye mtandao ni kwamba uhamiaji kuna shida kubwa kwenye passport. Wanasema hakuna pass mpya
 
Back
Top Bottom