Wasomali kihistoria na kiasili ni watu hatari sana, kutokana na nchi yao kuto kuwa na amani miongo mingi sasa, matikio ya kigaidi kila kukicha.
Jirani zetu wa Kenya wanasumbuliwa sana na Jamii ya Kisomali. Sio wasomali wote ni watu hatari ila wengi wao ni hatari sana kwa usalama hivyo tunaomba watu hawa kama wapo wanaishi na kufanya kazi nchi basi wafuatiliwe kwa karibu nyenendo zao.
Jamii ya kisomali wapo ambao ni raia wema na wazalendo, tatizo lipo kwa wale ambao wanajihusisha au wana rekodi za kigaidi hao lazima wabainishwe na warudushwe walipotoka. Wapo baadhi yao wana rekodi za kihalifu tokea huko kwao, watafutwe popote walipo ktk nchi hii.
Sina maana ya kubagua kwa namna yoyote ile ila nimesema hayo kwa nia njema ya Usalama wa Taifa langu Tanzania.
hivyo naomba maelezo yangu yasitafsiriwe vibaya. Nawapenda sana wasomali na pia ninao marafiki wa kisomali ambao ni wema.