COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,821
Kwani naibu huyo Ni Nani?Anzeni na kinana aliyekua katibu mkuu wa Ccm na Naibu waziri wa ulinzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani naibu huyo Ni Nani?Anzeni na kinana aliyekua katibu mkuu wa Ccm na Naibu waziri wa ulinzi.
Hi mada hii Ina mawingu ya kibaguziWasomali huwa wanaingia nchini kinyemela wanazamia mikoani wakishajua kiswahili wanarudi mjini kiukweli wasomali sio watu wazuri hata kule kwa wazungu ndii wamaongoza kwa vurugu
Sidhani kama kinana ana asili yakisomali, kuna baazi ya maeneo hapa nchini yana shombeshombe ya kiarabu lakini sio wasomali.kama pemba kilwa na tanga nk
Kwani naibu huyo Ni Nani?
Huyu Ana ubaguzi Sana Kama ni ivyo hata blacks wowote wanapofanyaga mabaya nchi za wengine warudishwe kwao.Si kweli mkuu Mwanamke wa kisomali zaidi ya ndoa huwezi mpata labla kwa bahati nasibu
Ushauri mbovu kabisa huuWasomali kihistoria na kiasili ni watu hatari sana, Jirani zetu wa kenya wanasumbuliwa sana na Jamii ya kisomali.
sio wasomali wote ni watu hatari ila wengi wao ni hatari sana kwa usalama hivyo tunaomba watu hawa kama wapo wanaishi na kufanya kazi nchi basi wafuatiliwe kwa karibu nyenendo zao.
jamii ya kisomali.
wapo ambao ni raia wema na wazalendo, tatizo lipo kwa wale ambao wanajihusisha au wana rekodi za kigaidi hao lazima wabainishwe na warudushwe walipo toka.
wapo baadhi yao wana rekodi za kihalifu tokea huko kwao.
sina maana ya kubagua kwa namna yoyote ile ila nimesema hayo kwa nia njema ya Usalama wa Taifa langu Tanzania.
hivyo naomba maelezo yangu yasitafsiriwe vibaya.
nawapenda sana wasomali na pia ninao marafiki wa kisomali ambao ni wema.
kama maelezo niliyo yatoa yataleta usumbufu kwa wengine basi naomba uzi huu ufutwe.
Hapana, hamna shidaMtoa mada ana ubaguzi sana ukiachana na tukio hili la Hamza ni lini Mtu mwenye asili ya Somalia aliwahi leta chida kwenye Nchi hii mbona hatuna tabu na mtu.
Kuna vitu umeongea vinamashiko makubwaWasomali kihistoria na kiasili ni watu hatari sana, Jirani zetu wa kenya wanasumbuliwa sana na Jamii ya kisomali.
sio wasomali wote ni watu hatari ila wengi wao ni hatari sana kwa usalama hivyo tunaomba watu hawa kama wapo wanaishi na kufanya kazi nchi basi wafuatiliwe kwa karibu nyenendo zao.
jamii ya kisomali.
wapo ambao ni raia wema na wazalendo, tatizo lipo kwa wale ambao wanajihusisha au wana rekodi za kigaidi hao lazima wabainishwe na warudushwe walipo toka.
wapo baadhi yao wana rekodi za kihalifu tokea huko kwao.
sina maana ya kubagua kwa namna yoyote ile ila nimesema hayo kwa nia njema ya Usalama wa Taifa langu Tanzania.
hivyo naomba maelezo yangu yasitafsiriwe vibaya.
nawapenda sana wasomali na pia ninao marafiki wa kisomali ambao ni wema.
kama maelezo niliyo yatoa yataleta usumbufu kwa wengine basi naomba uzi huu ufutwe.
swali jingine ni;Kuna vitu umeongea vinamashiko makubwa
Hata Hamza angepewa nafasii ya kuishi Kuna Jambo angeeongea
Mungu awape wepesi wote waliopoteza wapendwa wao
Vyombo vya usalama vilete majibu why Hamza aliwauwa polsi na hakutaka kuwamimnia risasi abiria wapita njia na wengine
Utakuwa mdigo sana, mwaka 1998, huko Ngorongoro liliibuka kundi la wasoma lililikuwa likiuuwa sana wafugaji na kupora mifugo. JWTZ ikalifutialia mbali.Mtoa mada ana ubaguzi sana ukiachana na tukio hili la Hamza ni lini Mtu mwenye asili ya Somalia aliwahi leta chida kwenye Nchi hii mbona hatuna tabu na mtu.
mkuu uzi huu umekaa kibaguz na kiwake sana....utawafanya popote walipo waanze majanga wakidhani ku2a ha2aaaminiki tena nchini kwetu.................Kuna vitu umeongea vinamashiko makubwa
Hata Hamza angepewa nafasii ya kuishi Kuna Jambo angeeongea
Mungu awape wepesi wote waliopoteza wapendwa wao
Vyombo vya usalama vilete majibu why Hamza aliwauwa polsi na hakutaka kuwamimnia risasi abiria wapita njia na wengine
Wewe umejawa na chuki tu umepigwa na maisha, fanya kazi hakuna mtu kalazimishwa kufanya kazi kwa mtu hakuna utumwa. Nchi ina sheria zake nani raia na nani sio raia hata asiye raia anaweza kuja hapa akiwa amefuata sheria za nchi. Sasa nitajie sheria inayosema Mtanzania ni lazima mfano awe mchaga, mrangi, mhehe na ,,,,,,,,,, hakuna sehemu unajaza kabila yako unajaza form wewe Mtanzania msilete haya mambo ya kijinga nchi hii mtu kafanya kosa haijalishi nani sheria ichukuwe nafasi yake leo tunaambiwa Mbowe Gaidi kwa hiyo tukachunguze ukoo wake wote? ukiwa na pesa wewe mfalme utatumisha tu huna kafanye kazi hata laizer mmasai lakini mfalme huko kwao pesa. Fanya kazi....kifupi watu weupe wote wanaokuja hapa lazima tuwe na misimamo mikali dhidi yao, tusiwape uhuru sana na wao kujiona watanzania..
wahindi, wasomali, na waarabu wakiwa kwao sisi hutuona watumwa na watu tusio na maana lakini ajabu wao wakiwa hapa tunawaona wafalme na ndugu zetu kiasi cha kuwapa uraia kiholela....tunapaswa kutoa masharti magumu dhidi ya hawa watu hasa pale tunapowapa uraia na wao kuwa watanzania basi wawe watanzania kweli na sio kufake utanzania pale wanapobenefit lakini huku hawako tayari kuishi kama watanzania..
Weupe wengi wanachuma kirahisi sana hapa kupitia ndugu zetu wenye tamaa na kupewa virushwa rushwa na kuwauza watanzia wote...wakishachuma hapa wengie wao huwafanya watanzania wenzetu watumwa kwa kuwatumikisha kwa ujira mdogo na manyanyaso meeengi..huku faida wanayoipata wanaihamisha hapa na kujenga himaya europe na America kama sio India..
Hawa ndio wanaoshadadia uonevu ,manyanyaso na hata ubambikiaji kwa wapinzani ndani ya taifa lao huku wakijiona waondio wamiliki wa taifa hili.Hi mada hii Ina mawingu ya kibaguzi
Abraham kinana inasadikika kwao ni Somalia.Alikua ni MwanaCCM hivyo wapitie upya nyaraka za wanaCCM.