Uhamiaji wanapaswa wapitie upya nyaraka za Wasomali nchini


oparetion hii ikimkosa bashe sitaitambua
 
Udikteta wa Mohammed Siad Bare ndio uliosababusha nchi ya Somalia kuparanganyika kabisa na kuwa taifa lililoshindwa
 
Mtu kazaliwa na kukulia bongo unaimuitaje msomali ? Ni mtanzania Kama ulivyo wewe Tu, wote mna haki S
 
Huyu Ana ubaguzi Sana Kama ni ivyo hata blacks wowote wanapofanyaga mabaya nchi za wengine warudishwe kwao.
Pia wale Askari waliomuua Akwilina wafuatiliwe wajulikane ni kabila gani ili warudishwe kwao mkoani watoke dar. So dunia ni moja mkuu
Uko sahihi mkuu , inabidi waondolewe dar
Onyesha nilipombagua.
Si umesema waondolewe warudishwe kwao, je ww unaishi kwenye mkoa wako WA asili ? Maana inawezekana unaishi mikoa ya watu wengine
 
Mtu kazaliwa na kukulia bongo unaimuitaje msomali ? Ni mtanzania Kama ulivyo wewe Tu, wote mna haki S
kuna historia ya kijana mmoja wa kisomali ambaye alienda Uingereza na kuoa huko, akaanza taratibu za kutafuta uraia wa Uingereza.
Idara ya uhamiaji ilifuatilia rekodi zake na ilibainika kuwa kijana huyo alikuwa na matukio ya kigaidi huko kwao somalia na alikuwa akitumiwa na kikundi cha Alshababu.
baada ya kubaini hivyo Serikali ya Uingereza bila ajizi ilimrudisha kwao somalia.
Vijana wengi wa kisomali wana uhusiano direct or indirect na kikundi cha kigaidi cha Alshabab.
Jambo la Msingi ni muhimu kwa Idara ya Uhamiaji kuto kutoa Uraia kama njugu!! lazima tujiridhishe ipasavyo kwa yeyote yule anaye omba uraia.
 
Big up sana sana mi nawajua nimeishi nao ni wabaguzi mbwa kabisa hao, wasomali hawafai na tuliwakaribisha kisa utu na ubinadamu wa Hayatti Nyerere hawana faida.
 
Muwe mnaangalia na watu wa kuwadhulumu .miaka yote tanzania tumekaa na wasomali wasifanye haya waje wafanye leo?
 
Hao wote sina shida ila lile jamaa jeupe pale bungeni liloleta tozo naombea apate bld ya mwaka mzima..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…