johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kamishna wa Uhamiaji amesema wapiga kura wote waliojiandikisha wanaoishi maeneo ya mipakani kuhakikiwa.
Uhakiki huo unawahusu wapiga kura wa uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020.
Lengo la uhakiki huo ni kuwabaini wageni waliojipenyeza kinyume cha sheria kwa nia ya kuvuruga chaguzi zetu.
Chanzo: Star tv habari
Maendeleo hayana vyama!