johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hii safi itasaidia kuyakamata makanjanja, wafike Tanga na mtwara pia
Huyu ni inzi anapenda uchafuhii kazi uliyopewa ni ya kijinga sana
wachana na kazi ya kulipwa buku saba, unaweza ukajiajiri na ukapiga pesa nzuri tu
Lengo sio Tanga wala Mtwara, hapa inakusudiwa kudhibitiwa Kigoma ngome ya Eisiiti wazalendo.Hii safi itasaidia kuyakamata makanjanja, wafike Tanga na mtwara pia
Hii safi itasaidia kuyakamata makanjanja, wafike Tanga na mtwara pia