uhamiaji

didy muhenga

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
861
Reaction score
1,476
Naomba kuuliza kwa mweny updates ni lini jeshi la uhamiaji litaita watu kwaajil ya mafunzo? na utaratibu wa jeshi la uhamiaj upoje kwa anaeingia na degree na yule wa form four. Nimeulizwa hayo maswal nmeona niyalete kweny jukwaa
 
Endelea kufanya kazi nyingine, sio lazima usubiri hiyo ajira
 
Naomba kuuliza kwa mweny updates ni lini jeshi la uhamiaji litaita watu kwaajil ya mafunzo? na utaratibu wa jeshi la uhamiaj upoje kwa anaeingia na degree na yule wa form four. Nimeulizwa hayo maswal nmeona niyalete kweny jukwaa
Uhamiaji waliingia Mafunzoni Chuoni kwao Tanga tangu mwezi April,nadhani mwezi ujao Oktoba wanamaliza Depo,sasa sijui unauliza Mafunzo gani?Binti yangu yupo huko,najiandaa kwenda kwenye Graduation(Passing Out)yao mwezi ujao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…