Uhamisho katika taasisi za Sayansi ya afya

Uhamisho katika taasisi za Sayansi ya afya

msugupendigwite

Senior Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
137
Reaction score
26
Wapendwa hivi inawezekana mwanafunzi kuhama toka taasisi moja kwenda nyingine akiwa ameshasajiliwa? (pengine ameshasoma semester moja au mwaka kabsa)
If yes naomba procedures
Nb. Nasoma stashahada ya utabibu.
 
Kuhama chuo? Sijawahi ona labda uki-disco afu unaomba kumalizia chuo kingine, form za uhamisho sijawahi ziona,,,
 
unakusudia kutoka chuo gani kwenda chuo gani??
 
Wewe Si ndie yule aliyekuwa akipigia upatu chuo ulichochaguliwa. Leo hii umeona mziki mnene unataka uhame. Tambua matatizo hayakimbiwi.
 
Back
Top Bottom