periodantal
Member
- Jun 21, 2015
- 48
- 10
jaman mm mbona nimefungua katk tovut
yao haya funguki nisaidie
Habari yenu nyote,
Naomba kupewa taarifa toka kwa yeyote anayefahamu. Uhamisho wa watumishi wa serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu (walimu n.k) ni lini?
Nawasilisha.
Wasaalam,
Mwanajamvi.
Hongera pia mkuu na majukumu mema uendako kulitumikia taifa
mzigo tayar tembelea tovuti ya tamisemi yametoka leo
mzigo tayar tembelea tovuti ya tamisemi yametoka leo