Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

Kumbe tuko wengi tulio na kihoro cha huo uhamisho.duh watoe tuu tujue moja wengine kodi inaisha mwezi huu hatutaki kulipa tena mpk kieleweke .Mungu tusaidiee
 
Jaman mm mbona nimefungua katk tovuti yao haya funguki nisaidie
 
Domain yao itakuwa na shida. Ni muda kdg iko dowm
 
Kwa mwezi huu huwa wanatoa kwa awamu 2 au? Maana Mimi nilipeleka tarehe za mwisho za mwezi wa 6 mkoani ili yaende tamisemi! Na inamaana kama mkoani walipeleka mwezi wa 7 it means hadi January 2016? Nisaidieni ufahamu
 
Ni muda wa kupumua sasa maana huo mchakato, ukiweza kuvuka mpaka mwisho ni MUNGU kwa kweli!
 
Hivi Barua za vibali zishafika wilayani toka TAMISEMI baada ya kutoa majina ? nisaidieni
 
Back
Top Bottom