Uhamisho kwenye mfumo wa EES kwa watumishi wa umma

Uhamisho kwenye mfumo wa EES kwa watumishi wa umma

skafunje

Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
8
Reaction score
0
Wadau nimeshafanya uhamisho huu online, status inasoma ALLOWED, kwa waliowahi kufanya uhamisho huu nini kinafuatia baada ya hapo natanguliza shukrani.
 
Unaendelea na ngazi inayofuata,
Kutoka kwa supervisor wako kwenda kwa huyo wa juu yake..
Mpaka unakamilika
 
Huko kote ishapita finally ishakua approved status ndo hiyo ALLOWED
 
Nenda kaangalie yutubu video za namna ya kutumia mfumo wa ESS wameeleza haya yote unayouliza humu ndani
 
Back
Top Bottom