Uhamisho na TAMISEMI unatoka lini?

Uongo unajuaje bila majina kuwekwa nahisi flaud hapa
Sawa endelea kutoamini,nikudanganye wewe kwa faida gani ninayopata endelea kukaa usagatini utakuta wenzio wamesha funga data wamehama barua yako wamefungia chapati.
 
Umeona yako?
Ndugu,nimeshindwa kwenda kuangalia kwakuwa ile nafika tu ofisini naambiwa kutakuwa na kikao cha dharura cha staff kuanzia saa 2:30 asubuhi.Na badala ya kikao kuwa kifupi kama nilivyodhani kikafuliliza kwa masaa mengi.

Kesho nitaenda kucheki na nitakujulisha kilichojili hapa hapa jukwaani.Mi sikutilii mashaka kama yule mwenzangu ambaye amegeuka Tomaso.
 
Ok
 
Sasa unaulizaje jina umeliona wapi?! Mmmmmmhhhh haya dibiwa kweli
 
Sasa unaulizaje jina umeliona wapi?! Mmmmmmhhhh haya dibiwa kweli
Duh yaani hata hujui nini tunajadili hapa na wewe uende kuuliza nini!kweli kwa vichwa hivi safari ya maendeleo ya tz inavikwazo.
 
Mrejesho vipi?
 
Nimeuliza ofisi ya utumishi wameniambia wanatuma barua chachechache sijui shida nini.
 
Nimeuliza ofisi ya utumishi wameniambia wanatuma barua chachechache sijui shida nini.
Mmmmhhhhh hawawezi kutuma barua mpk majina yatoke ndio utaratibu huo na sivinginevo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…