Uhamisho Taasisi za serikali

Uhamisho Taasisi za serikali

Winner 92

Member
Joined
Aug 15, 2021
Posts
5
Reaction score
0
Habari zenu wanajukwaa,

Kama kichwa cha habari kinavyosema, natafuta nafasi ya kuhamia kwenye taasisi Kama Tari, Tpri, Nimri au Taasisi yoyote inayohusiana na Research au Afya.
 
Tafuta nafasi taasisi husika,kama ipo, andika barua na kuipitisha kwa mwajri wako
 
Unahama ukiwa na taaluma gani? Mfanyakazi wa umma una feli wapi?

Una hama wewe muhudumu wa ofisi, dereva, mapokezi, secretary, mtunza kunbukumbu, mlinzi...

Una taka kutoka wapi? Wizarani, serikali za mitaa, taasisi zingine za serikali kama vyuo vya ufundi, ualimu, mifugo, uvuvi, kilimo, tanapa, NCAA, bandari etc

Jielezee vyema ili usaidike...
 
Kutoka Chadema kwenda CCM
 
Back
Top Bottom