Unahama ukiwa na taaluma gani? Mfanyakazi wa umma una feli wapi?
Una hama wewe muhudumu wa ofisi, dereva, mapokezi, secretary, mtunza kunbukumbu, mlinzi...
Una taka kutoka wapi? Wizarani, serikali za mitaa, taasisi zingine za serikali kama vyuo vya ufundi, ualimu, mifugo, uvuvi, kilimo, tanapa, NCAA, bandari etc
Jielezee vyema ili usaidike...