HahahaUmbea tu
Sio haba wengine walipata hadi 7millAisee kwamba pesa za uhamisho ni mamilioni mengi kiasi hicho sio?
Kweli sasa tuko uchumi wa kati.
Kuna watu watabisha wanajifanya wanajua kila kituUko sahihi,watumishi wamneemeka kwa kiasi fulani...
Hatari sanaNa vimanzi vya udom,mipango na nk vinatembezewa moto na kuukwaa kupita kiasi
Hapa jamii forum hatujuani hakuna haja ya kupanic kama jambo halikuhusu take it easyUnajua Mambo ya jirani kiasi hicho mpaka mwaka alioanza ujenzi?. Unaweza kuta alieleta hoja hii ni dume.
Hata mimi nimejiuliza inamana pesa ya uhamisho ni nyingi kiasi hicho.Aisee kwamba pesa za uhamisho ni mamilioni mengi kiasi hicho sio?
Kweli sasa tuko uchumi wa kati.
Kweli huwezi pata gari ya maana ndio maana nimesema wamenunua gari za mkononi 4-7 millHela ya uhamisho haiwez kumaliza gofu wala kununua gari ya maana na jukum la kuhama bad linakukabili labda kwa watumishi wachache tu ndo wamenufaika kwa njia hiyo
Tena uhamisho wa Dar-Dom mbona ni pesa ya kawaida tu pengine ukaingia na hasara zingine kubwa zaid maana ukihama Ni kama vile unaenda kuanza moja
Kama ndio unavyowaza sawa, ila jua kuna watu wamekunja 5-10 mill kutegemeana na ofisiKwamba pesa za uhamisho wamejengea majumba na kununulia magari! CCM imewageuza mzombi nyie watu
Wewe ulijua ni kiasi gani ?Hata mimi nimejiuliza inamana pesa ya uhamisho ni nyingi kiasi hicho.
Hata mimi nimejiuliza inamana pesa ya uhamisho ni nyingi kiasi hicho.
Wewe ulijua ni kiasi gani ?
Hiyo hela ya uhamisho ni kiasi gani hadi ujenge....sana sana 6m tena kwa afisa ngazi za juu.Huku mtaani kulikuwa na magofu mengi yamesimama ila watu baada tu ya kulipwa hela ya uhamisho ujenzi umeendelea na wengine wamemaliza kabisa.
Watumishi waliokuwa na ndoto za magari wamenunua hata ya mkononi kwa mtu.
Wengine wamenunua viwanja hata kama ni vidogo.
Wengine wamepauwa nyumba zao zilizokwama kwa miaka mingi. Watumishi wengi walikuwa na ndoto ila mifuko ilikuwa imetoboka. Jirani yangu alianza ujenzi 2010, ujenzi ukasimama 2014 kamalizia 2019 baada ya kupata hela ya uhamisho.
Kila jambo ni fursa.