Uhamisho wa Dodoma ulivyonufaisha watumishi

Hiyo hela ya uhamisho ni kiasi gani hadi ujenge....sana sana 6m tena kwa afisa ngazi za juu.
Ngoja nikwambie kitu serikalini humu usilinganishe kabisa, idara, taasisi, wakala na mashirika yanatofautiana sana ikija kwenye maswala ya stahiki. Kuna watu nawafahamu wakienda likizo tu ya mwaka wanalipiwa nauli ya ndege mke na watoto wanne go and return wakati wengine wanapewa nauli ya SUMATRA
 
Basi ungesema Uamisho wa kwenda Dodoma ulivyowanufaisha baadhi ya watumishi
 
Hela ziliisha miezi miwili tu sasa wanapambana na kodi za nyumba Dom na kama hukujenga Dar utalipa kodi sehemu mbili na matumizi utume Dar na wewe ubakize zako za kujikimu, nasema hv sababu watu wengi hawajahamisha familia bado ziko Dar
 
Back
Top Bottom