Ngoja nikwambie kitu serikalini humu usilinganishe kabisa, idara, taasisi, wakala na mashirika yanatofautiana sana ikija kwenye maswala ya stahiki. Kuna watu nawafahamu wakienda likizo tu ya mwaka wanalipiwa nauli ya ndege mke na watoto wanne go and return wakati wengine wanapewa nauli ya SUMATRA