Uhamisho wa uonevu TRA, Kamishna Mkuu tafadhali ingilia kati

Mimi binafsi nawapongeza sanaViongozi wa TPA wote kwa Ujumla manadiliko ni sehemu ya kiutendaji wewe upo TPA unalalamika namna hiyo

Fanya kazi acha kuwachafua Viongozi wako kubali kuwajibika kama Mtumishi .....acheni mambo ya ajabu ajabu

Natamani sana kufanya kazi TPA sana acheni nyinyi wenzenu Tulia usiku na mchana maisha ni magumu sana kwetu licha Tuna Elimu sawa
Wenzenu Tumechoka sana [emoji22] [emoji120]
 
Asali imekata
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…