Materu materuni
Member
- Jul 23, 2013
- 97
- 5
Sorry huyu Majuto Nyanga ameingia kwenye list ya waliokosa, anatokea Kilosa Morogoro. .
Sababu ya kukosa ni kuwa hakuna barua ya uhamisho na viambatanisho vingine
nikusumbue tena Immanuel materu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry huyu Majuto Nyanga ameingia kwenye list ya waliokosa, anatokea Kilosa Morogoro. .
Sababu ya kukosa ni kuwa hakuna barua ya uhamisho na viambatanisho vingine
nikusumbue tena Immanuel materu
Hilo jina halipo kwa
waliopata, waliokosa wala waliohama kwa vibali maalum.....nowhere to be
found
Sorry huyu Majuto Nyanga ameingia kwenye list ya waliokosa, anatokea Kilosa Morogoro. .
Sababu ya kukosa ni kuwa hakuna barua ya uhamisho na viambatanisho vingine
Kaka sory naomba unitazimie jina la MOHAMED PAZI si wenye tenco pdf haifunguki
hebron kisega
Kaka naomba uniangalizie jina la mke wangu, anaitwa esha bushiri yusufu. Tafadhari
Kaka ngoja nikuombe tena kwa jina emiliana mghogho.
MR MATERU
Technically siwez kukushauri, cha kufanya nenda kwa muajiri wako ujue watakusaidiaje ila huyo mwenzako tayari amehama, uhamisho unafanyika mara mbili tu kwa mwaka, yaan June na December so possibly unaweza ukakamilisha next tym lakin majibu mazuri utayapata kwa muajiri wako wilayani
Kaka sory naomba unitazimie jina la MOHAMED PAZI si wenye tenco pdf haifunguki
Mkuu msaada jina Elenzian Ngaponda samahan mwenzio mpaka saiz cjui chochote.
Elenzian Ngaponda Kutoka Gairo kwenda Wilaya ya Busokela Mbeya...Amefanikiwa kuhama