Uhamisho wa watumishi 2013/2014

Hilo jina halipo kwa
waliopata, waliokosa wala waliohama kwa vibali maalum.....nowhere to be
found

pandae.nipe ushaur me tuliomb kubadilishana na mtu sasa jina moja limetoka la noah kibona alaf lingine ndo hilo wamedai hakuna barua ya uhamisho inakuaje
 
Kaka sory naomba unitazimie jina la MOHAMED PAZI si wenye tenco pdf haifunguki
 
Jaman mwenye kunifanyia msaada ya kuangalia jina la esha yusufu bushiri aniangalizie anijuze kama kapata uhamisho. Pls ndg zangu.
 
MR MATERU

Technically siwez kukushauri, cha kufanya nenda kwa muajiri wako ujue watakusaidiaje ila huyo mwenzako tayari amehama, uhamisho unafanyika mara mbili tu kwa mwaka, yaan June na December so possibly unaweza ukakamilisha next tym lakin majibu mazuri utayapata kwa muajiri wako wilayani
 

Mkuu msaada jina Elenzian Ngaponda samahan mwenzio mpaka saiz cjui chochote.
 
Naomba niangalizie GEOFREY ELPHAY MALILA nipo mbali sanaaa.sorry!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…