HAMISI LUKWEMBO
Member
- Jan 13, 2014
- 13
- 2
Kaka naomba kumwona saidi h mandamo
(y) Pendael
Nakuomba sana unisaidie kwa kucheck jina la mke wangu SAWIATH N MSWADIKO wilaya ya Kyelwa,
cm yangu imenizengua thana
pendael nichekie ilo jina la mama yangu neema d kivuma
Uhamisho wa mwaka gani? Km ni Dec. 2014 bado hayajatoka hayo ni ya Dec. 2013.
Vipi ya Dec 2014 yatatoka lini,mwenye taarifa atusaidie.
Jina halipo kwenye list zote tatu
Naisubiri sana. Nimechoka kujipikia coz my wife hajapata uhamisho na mimi nimestaafu.
uhamisho wa Desemba 2014 ndio unasuasua