Uhamisho wa watumishi 2013/2014

Uhamisho wa watumishi 2013/2014

(y) Pendael
Nakuomba sana unisaidie kwa kucheck jina la mke wangu SAWIATH N MSWADIKO wilaya ya Kyelwa,
cm yangu imenizengua thana
 
Na vipi kuhusu barua!!? maana wengi wanalalamika hawajapewa barua zao. mfano chato wanawambia hazijafika. na hata zikifika waliobadilishana hawatapewa mwenzake aripoti ndipo aruhusiwe. je hii ni harali? na kwingine vip mchakato unaendelea vizuri?
 
Tusaidiane wote kuhusu hili kunyimwa barua ya uhamisho wakati tamisemi wamekuruhusu eti mpka uliyebadilishana naye aripoti. je ma DED wote ktk halmashauri wakiwa na msimamo huo uhamisho wakubadilishana una maana tena?
 
wakuu tafadhal kwa anayejua taarifa za uhamisho wa watumishi kutoka tamisemi kwa mwez wa 9. atujuze p/se
 
Back
Top Bottom