A abinery Member Joined Dec 20, 2014 Posts 8 Reaction score 0 Jan 15, 2015 #1 Naomba kuuliza jamani mwenye tetesi juu ya uhamisho Wa watumishi walioomba uhamisho Wa mwezi December ambapo watatakiwa kuanza kazi vituo vipya January kulingana na taratibu za TAMISEMI majina yao yatatoka lini?
Naomba kuuliza jamani mwenye tetesi juu ya uhamisho Wa watumishi walioomba uhamisho Wa mwezi December ambapo watatakiwa kuanza kazi vituo vipya January kulingana na taratibu za TAMISEMI majina yao yatatoka lini?
saligongo JF-Expert Member Joined Dec 5, 2014 Posts 300 Reaction score 340 Jan 15, 2015 #3 mwisho was mwezi
maona Member Joined Jan 2, 2012 Posts 20 Reaction score 1 Jan 22, 2015 #4 Tayari nimeyaona majina ya watumishi wanaohama kwenye tovuti ya tamisemi