Uhamisho wa watumishi mwezi december 2014

Uhamisho wa watumishi mwezi december 2014

abinery

Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
8
Reaction score
0
Naomba kuuliza jamani mwenye tetesi juu ya uhamisho Wa watumishi walioomba uhamisho Wa mwezi December ambapo watatakiwa kuanza kazi vituo vipya January kulingana na taratibu za TAMISEMI majina yao yatatoka lini?
 
Tayari nimeyaona majina ya watumishi wanaohama kwenye tovuti ya tamisemi
 
Back
Top Bottom