baba deokala
Member
- Jun 12, 2021
- 11
- 12
Dah!!! Nishawahi pigwa kaka na hakuna lolote jipyaMkono mfupi haulambwi
Unachosema kiongozi ni sahihi Ila changamoto ni kwamba hapa nilipo sio Mahali ambapo nahitaji kufanya makaz ya kudumu (sitaishi hapa baada ya ku-retire)Duniani tunapita, ishi popote wewe...wekeza popote fedha Haina masharti, au Salio dogo. Ukienda Dodoma utakuta kuna uwekezaji mkubwa sana unaendelea na wote wale sio kwao...wametoka mikoani kwenda kuwekeza makao makuu na wao hawaishi kule. Cheza na fursa tu ndugu yangu
Ess.utumishi.go.tzHabari za muda wakuu , poleni na majukumu,
Nije kwenye point wakuu ivi nawezaje kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ambako ndio home,, coz mm ni Mwalimu nipo MUFINDI IRINGA Kwa muda wa miaka 10+ mara kadhaa nimeangaika na swala la uhamisho Ili niende kwetu maana hapa sina mpango wa kuishi hivyo inaniwia vigumu kufanya uwekezaji
Ila swala la uhamisho limekuwa changamoto japokuwa taarifa zangu zipo TAMISEMI(zinazohusu kuhama) Ila naona siku zinaenda bila ishu yoyote naombeni msaada nitumie njia Gani Ili niweze kuhama huu mkoa?
Mpaka Sasa maombi yangu ya uhamisho yamekomea hapa yana mwaka mmoja mpaka Sasa.Ess.utumishi.go.tz
Umeomba kuhama au kubadilishana kituo?Mpaka Sasa maombi yangu ya uhamisho yamekomea hapa yana mwaka mmoja mpaka Sasa.
Mkuu kumradhi kwa kutamka maneno haya ila ukweli ni kwamba elimu yako bado haijakukomboa.Habari za muda wakuu , poleni na majukumu,
Nije kwenye point wakuu ivi nawezaje kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ambako ndio home,, coz mm ni Mwalimu nipo MUFINDI IRINGA Kwa muda wa miaka 10+ mara kadhaa nimeangaika na swala la uhamisho Ili niende kwetu maana hapa sina mpango wa kuishi hivyo inaniwia vigumu kufanya uwekezaji
Ila swala la uhamisho limekuwa changamoto japokuwa taarifa zangu zipo TAMISEMI(zinazohusu kuhama) Ila naona siku zinaenda bila ishu yoyote naombeni msaada nitumie njia Gani Ili niweze kuhama huu mkoa?
Mkuu kumradhi kwa kutamka maneno haya ila ukweli ni kwamba elimu yako bado haijakukomboa.Habari za muda wakuu , poleni na majukumu,
Nije kwenye point wakuu ivi nawezaje kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ambako ndio home,, coz mm ni Mwalimu nipo MUFINDI IRINGA Kwa muda wa miaka 10+ mara kadhaa nimeangaika na swala la uhamisho Ili niende kwetu maana hapa sina mpango wa kuishi hivyo inaniwia vigumu kufanya uwekezaji
Ila swala la uhamisho limekuwa changamoto japokuwa taarifa zangu zipo TAMISEMI(zinazohusu kuhama) Ila naona siku zinaenda bila ishu yoyote naombeni msaada nitumie njia Gani Ili niweze kuhama huu mkoa?
Nimeongea Kwa uchache ndugu Wala sijatoka kuchimbua sana Kwa undani Kwa ufupi ni kwamba huko ninakotaka kwenda ndipo nilipo andaa makazi ya kudumu lakini pia Kwa mazingira niliyopo ni vigumu kujiendeleza kimafanikio (baadhi ya watumishi wanafahamu) hivyo natamani nitoke niende Mahali ambapo naweza kujipambanua.Mkuu kumradhi kwa kutamka maneno haya ila ukweli ni kwamba elimu yako bado haijakukomboa.
Kila mtumishi akiwaza kufanyia kazi kwao umewaza kwamba hakutakuwa na uwiano sawa kwa idadi ya watumishi kwa kila mkoa.
Hii itapelekea mikoa fulani watumishi kurundikana na mingine kuwa na uhaba jambo ambalo halitakuwa na tija kwa Taifa.
Kwahiyo miaka 10+ uliyokuwa umeitumia kupambana kutafuta uhamisho na hizo fedha ulizotumia kuhonga ili uhame unhefanya uwekezaji hapo ulipo unaamini ungekuwa sawa na hapo ulipo sasa hivi?
Umewaza kurudi kwenu ili ukafanye nini? Hukumaliza kunyonya? Au unataka ukawavimbie wana kuwa na wewe upo kwenye payroll?
Unafikiria kwamba ukistaafu hautaishi hapo, sio jambo baya, ila piga mahesabu utakuwa mtumishi wa umma hadi utakapofika miaka 60 mbona unaweza kuwekeza hapo ulipo na baada ya kustaafu ukahamia kuishi popote unapotaka hata ikiwa nje ya nchi ukiwa na kibunda cha kueleweka tu.
Acha kazi ujiajiri.Habari za muda wakuu , poleni na majukumu,
Nije kwenye point wakuu ivi nawezaje kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ambako ndio home,, coz mm ni Mwalimu nipo MUFINDI IRINGA Kwa muda wa miaka 10+ mara kadhaa nimeangaika na swala la uhamisho Ili niende kwetu maana hapa sina mpango wa kuishi hivyo inaniwia vigumu kufanya uwekezaji
Ila swala la uhamisho limekuwa changamoto japokuwa taarifa zangu zipo TAMISEMI(zinazohusu kuhama) Ila naona siku zinaenda bila ishu yoyote naombeni msaada nitumie njia Gani Ili niweze kuhama huu mkoa?
HahaahahaaAcha kazi ujiajiri.
Hapo sawa, pambania uhamisho tuUnachosema kiongozi ni sahihi Ila changamoto ni kwamba hapa nilipo sio Mahali ambapo nahitaji kufanya makaz ya kudumu (sitaishi hapa baada ya ku-retire)
PCCB kuna mteja wenu huku.Mkono mfupi haulambwi
Baridi Kali sana auUnachosema kiongozi ni sahihi Ila changamoto ni kwamba hapa nilipo sio Mahali ambapo nahitaji kufanya makaz ya kudumu (sitaishi hapa baada ya ku-retire)
Shida bado haupo kwny mfumo siku ukija kupata ajira utajifunze kitu nakuombee uje ulambe asali nonoPCCB kuna mteja wenu hu.