Uhamisho wa watumishi wa Serikali za Mitaa Juni 2014

Uhamisho wa watumishi wa Serikali za Mitaa Juni 2014

ahsante meshaki,ila naweza 2mia njia gani rahs na ya haraka kuwasiliana nao tamisemi?
 
naomba uniangalizie agnes gogadi wilaya ya bukombe kwenda shinyanga sijui kama yupo mwalimu

Hapa anaonekana kama Agnes G. Joseph no. ya uhamisho 385 toka Bukombe kwenda wilaya ya shinyanga.
 
ahsante meshaki,ila naweza 2mia njia gani rahs na ya haraka kuwasiliana nao tamisemi?

Ni bora zaidi ukaenda mwenye mwenyewe, muda huu wakurekebishie.. kuagiza watu sometimes si vizuri.
 
Hapa anaonekana kama Agnes G. Joseph no. ya uhamisho 385 toka Bukombe kwenda wilaya ya shinyanga.

wadau samahani naomba kuuliza huu uhamisho una wahusu mpaka walimu walio tuma maombi TAMISEMI?.au nikwa wafanyakazi wengine serikali za mitaa?asanteni
 
Back
Top Bottom