kama huna alternative ya kuyaona waweza nitumia jina la mtu unataka kumwangalia nikuangalizie.
poa nimekupm kaka
poa nimekupm kaka
Sorry nilipitiwa kwa kutokujibu kwa Pm.
Sorry nilipitiwa kwa kutokujibu kwa Pm.
Sorry nilipitiwa kwa kutokujibu kwa Pm.
kama huna alternative ya kuyaona waweza nitumia jina la mtu unataka kumwangalia nikuangalizie.
usijali na yule mwingine je?
eti huyo mwingine alikuwa wilaya gani? nataka nijue wilaya aliyokuwa anafanyia kazi, then nitafute orodha ya waliohama, coz nimetaype naona nimekosa.
naomba uniangalizie agnes gogadi wilaya ya bukombe kwenda shinyanga sijui kama yupo mwalimu
Hapa anaonekana kama Agnes G. Joseph no. ya uhamisho 385 toka Bukombe kwenda wilaya ya shinyanga.
manispaa mtwara kwenda ilala
asante ni huyo huyo kaka
ahsante meshaki,ila naweza 2mia njia gani rahs na ya haraka kuwasiliana nao tamisemi?
Nimecheck orodha ya wanaotoka mtwara manispaa, sijaona hilo jina.
asante sana
Hapa anaonekana kama Agnes G. Joseph no. ya uhamisho 385 toka Bukombe kwenda wilaya ya shinyanga.