Uhamisho wa Watumishi wa Umma kufanyika mara 4 kwa Mwaka (kila baada ya miezi 3)

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amesema uhamisho wa watumishi wa Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa utafanyika mara nne kwa mwaka yaani kila robo ya mwaka husika.

Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo Prof. Shemdoe amesema kila tarehe 10 ya mwezi unaofuata baada ya robo mwaka kwisha uhamisho utafanyika na majina yatawekwa kwenye tovuti ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI.

Robo kwanza ya mwaka yaan Julai - Septemba majina ya uhamisho yatakua yanatoka tarehe 10 October , na robo ya Pili Oktoba - Desemba majina ya uhamisho yatatoka Januari 10.

Aliongeza kuwa: " katika robo ya tatu ya Januari- Machi majina ya uhamisho yatatoka April 10 na robo ya mwisho ya Aprili-Juni majina ya uhamisho yatatoka Julai 10."

Aidha Prof.Shemdoe amebainisha kuwa majina ya watumishi wote watakaohamishwa yatawekwa kwenye Tovuti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ambayo ni www.tamisemi.go.tz.

Pia amewataka Makatibu Tawala wa Mikoa yote nchini kuwasilisha orodha ya watumishi wa kuhama ofisi ya Rais-TAMISEMI kila tarehe 05 ya mwezi unaofuata baada ya robo mwaka.

Aidha, amewataka Makatibu Tawala wote kutokupitisha maombi ya watumishi wanaotaka kuhamia kwenye majiji, manispaa na miji kwa kuwa maeneo hayo yana idadi kubwa ya watumishi.

Aidha, Profesa Shemdoe aliwataka Makatibu Tawala kuwapa kipaumbele watumishi wenye changamoto mbalimbali zilizothibitishwa.

Prof.Shemdoe ametoa wito kwa watumishi wote kubaki kwenye vituo vyao na barua za uhamisho zitatumwa kwa waajiri wao na wataona majina yao kwenye Tovuti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI.

Pia amewataka watumishi kujihadhari na matapeli wanaotaka fedha kwa ajili ya kufanikisha uhamisho wao kwa kuwa Uhamisho ni bure na ni haki ya kila mtumishi.

Amesema kuwa Barua za Uhamisho za kipindi cha nyuma ambazo zilishafika Ofisi ya Rasi TAMISEMI zinashughulikiwa na majina yatatolewa kila mwezi mpaka Juni 30 kabla utaratibu mpya haujaanza kutumika.

Malunde blog
 
Utumishi wa umma hasa tamisemi ni u...

#MaendeleoHayanaChama
 
Mnaelewa lakini mnachochangia? Kuna watu wanaomba kuhama au wanalazimika kuhamishwa
 
Nadhani hao Ni wale walioomba kuhamishwa.

Ciku nyingi Kumekuwa na tuhuma kuhusu watu kuhamishwa.

Hio Sasa itafanya Mambo yawe ya uwazi zaidi.

Kila.la kheri Prof shemdoe, huu ndio ukweli na uwazi.
 
KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amesema uhamisho wa watumishi wa Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa utafanyika mara nne kwa mwaka yaani kila robo ya mwaka husika.

Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo Prof. Shemdoe amesema kila tarehe 10 ya mwezi unaofuata baada ya robo mwaka kwisha uhamisho utafanyika na majina yatawekwa kwenye tovuti ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI.

Robo kwanza ya mwaka yaan Julai - Septemba majina ya uhamisho yatakua yanatoka tarehe 10 October , na robo ya Pili Oktoba - Desemba majina ya uhamisho yatatoka Januari 10.

Aliongeza kuwa: " katika robo ya tatu ya Januari- Machi majina ya uhamisho yatatoka April 10 na robo ya mwisho ya Aprili-Juni majina ya uhamisho yatatoka Julai 10."

Aidha Prof.Shemdoe amebainisha kuwa majina ya watumishi wote watakaohamishwa yatawekwa kwenye Tovuti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ambayo ni www.tamisemi.go.tz.

Pia amewataka Makatibu Tawala wa Mikoa yote nchini kuwasilisha orodha ya watumishi wa kuhama ofisi ya Rais-TAMISEMI kila tarehe 05 ya mwezi unaofuata baada ya robo mwaka.

Aidha, amewataka Makatibu Tawala wote kutokupitisha maombi ya watumishi wanaotaka kuhamia kwenye majiji, manispaa na miji kwa kuwa maeneo hayo yana idadi kubwa ya watumishi.

Aidha, Profesa Shemdoe aliwataka Makatibu Tawala kuwapa kipaumbele watumishi wenye changamoto mbalimbali zilizothibitishwa.

Prof.Shemdoe ametoa wito kwa watumishi wote kubaki kwenye vituo vyao na barua za uhamisho zitatumwa kwa waajiri wao na wataona majina yao kwenye Tovuti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI.

Pia amewataka watumishi kujihadhari na matapeli wanaotaka fedha kwa ajili ya kufanikisha uhamisho wao kwa kuwa Uhamisho ni bure na ni haki ya kila mtumishi.

Amesema kuwa Barua za Uhamisho za kipindi cha nyuma ambazo zilishafika Ofisi ya Rasi TAMISEMI zinashughulikiwa na majina yatatolewa kila mwezi mpaka Juni 30 kabla utaratibu mpya haujaanza kutumika

Malunde blog
Kwa kama mtu anamfuata mume wake ambaye yupo kwenye jiji, manispaa au miji anakwama? kwa mawazo haya kama yanatoka kwa professor kwa kweli acha wakina Msukuma waendelee kuwadharau tu
 
Naunga mkono hoja maana mwanzo ilikuwa ni mara 2 tu kwa mwaka, ni jambo nzuri kwa wanaotaka kuhama kwa hiari.
 
Huyu professor uchwala anafikiri kwa kutumia makalio, unazuia vp mtumishi kuhamia manispaa au jiji/miji? Hayo maeneo ya mjini kuna watumishi wanastaafu au kufariki au kuhama, anazuiaje mtumishi kuhamia mjini na wakati amethibitishiwa uwepo wa nafasi na mwajiri wa eneo husika? Hovyo kabisa mijitu mingine.
 
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amesema uhamisho wa watumishi wa Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa utafanyika mara nne kwa mwaka yaani kila robo ya mwaka husika.

Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo Prof. Shemdoe amesema kila tarehe 10 ya mwezi unaofuata baada ya robo mwaka kwisha uhamisho utafanyika na majina yatawekwa kwenye tovuti ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI.

Robo kwanza ya mwaka yaan Julai - Septemba majina ya uhamisho yatakua yanatoka tarehe 10 October , na robo ya Pili Oktoba - Desemba majina ya uhamisho yatatoka Januari 10.

Aliongeza kuwa: " katika robo ya tatu ya Januari- Machi majina ya uhamisho yatatoka April 10 na robo ya mwisho ya Aprili-Juni majina ya uhamisho yatatoka Julai 10."

Aidha Prof.Shemdoe amebainisha kuwa majina ya watumishi wote watakaohamishwa yatawekwa kwenye Tovuti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ambayo ni www.tamisemi.go.tz.

Pia amewataka Makatibu Tawala wa Mikoa yote nchini kuwasilisha orodha ya watumishi wa kuhama ofisi ya Rais-TAMISEMI kila tarehe 05 ya mwezi unaofuata baada ya robo mwaka.

Aidha, amewataka Makatibu Tawala wote kutokupitisha maombi ya watumishi wanaotaka kuhamia kwenye majiji, manispaa na miji kwa kuwa maeneo hayo yana idadi kubwa ya watumishi.

Aidha, Profesa Shemdoe aliwataka Makatibu Tawala kuwapa kipaumbele watumishi wenye changamoto mbalimbali zilizothibitishwa.

Prof.Shemdoe ametoa wito kwa watumishi wote kubaki kwenye vituo vyao na barua za uhamisho zitatumwa kwa waajiri wao na wataona majina yao kwenye Tovuti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI.

Pia amewataka watumishi kujihadhari na matapeli wanaotaka fedha kwa ajili ya kufanikisha uhamisho wao kwa kuwa Uhamisho ni bure na ni haki ya kila mtumishi.

Amesema kuwa Barua za Uhamisho za kipindi cha nyuma ambazo zilishafika Ofisi ya Rasi TAMISEMI zinashughulikiwa na majina yatatolewa kila mwezi mpaka Juni 30 kabla utaratibu mpya haujaanza kutumika.

Malunde blog
Watuwekee email address yao ili watu watume email mojakawa moja maombi yawafikie kwa wakati tafadhali.
 
Prof.Shemdoe ametoa wito kwa watumishi wote kubaki kwenye vituo vyao na barua za uhamisho zitatumwa kwa waajiri wao na wataona majina yao kwenye Tovuti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI.

Pia amewataka watumishi kujihadhari na matapeli wanaotaka fedha kwa ajili ya kufanikisha uhamisho wao kwa kuwa Uhamisho ni bure na ni haki ya kila mtumishi.
Why encourage them to use papers instead of digital systems ambayo hairuhusu rushwa, hairuhusu kusafiri, hairuhusu kusumbuliwa na mtumishi mwingine...
 
Wakuu samahani naomba mwenye uelewa anifahamishe, ikiwa mtumishi kaomba uhamisho wa kujigharamia lakini akapelekwa wilaya tofauti na aliyoomba je hapaswi kulipwa ela ya uhamisho?
 
mtaalam hapo umejichanganya.wewr sibuliomba kuhama haya ndio umehamishwa sasa.aidha uhamisho huu utakua wa bila malipo.kwa kuwa umeomba.nakutakia kazi njema katika kituo chako kipya.
mkuu wa idara .mpokee na mpangie majukumu
 
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amesema uhamisho wa watumishi wa Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa utafanyika mara nne kwa mwaka yaani kila robo ya mwaka husika.

Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo Prof. Shemdoe amesema kila tarehe 10 ya mwezi unaofuata baada ya robo mwaka kwisha uhamisho utafanyika na majina yatawekwa kwenye tovuti ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI.

Robo kwanza ya mwaka yaan Julai - Septemba majina ya uhamisho yatakua yanatoka tarehe 10 October , na robo ya Pili Oktoba - Desemba majina ya uhamisho yatatoka Januari 10.

Aliongeza kuwa: " katika robo ya tatu ya Januari- Machi majina ya uhamisho yatatoka April 10 na robo ya mwisho ya Aprili-Juni majina ya uhamisho yatatoka Julai 10."

Aidha Prof.Shemdoe amebainisha kuwa majina ya watumishi wote watakaohamishwa yatawekwa kwenye Tovuti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ambayo ni www.tamisemi.go.tz.

Pia amewataka Makatibu Tawala wa Mikoa yote nchini kuwasilisha orodha ya watumishi wa kuhama ofisi ya Rais-TAMISEMI kila tarehe 05 ya mwezi unaofuata baada ya robo mwaka.

Aidha, amewataka Makatibu Tawala wote kutokupitisha maombi ya watumishi wanaotaka kuhamia kwenye majiji, manispaa na miji kwa kuwa maeneo hayo yana idadi kubwa ya watumishi.

Aidha, Profesa Shemdoe aliwataka Makatibu Tawala kuwapa kipaumbele watumishi wenye changamoto mbalimbali zilizothibitishwa.

Prof.Shemdoe ametoa wito kwa watumishi wote kubaki kwenye vituo vyao na barua za uhamisho zitatumwa kwa waajiri wao na wataona majina yao kwenye Tovuti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI.

Pia amewataka watumishi kujihadhari na matapeli wanaotaka fedha kwa ajili ya kufanikisha uhamisho wao kwa kuwa Uhamisho ni bure na ni haki ya kila mtumishi.

Amesema kuwa Barua za Uhamisho za kipindi cha nyuma ambazo zilishafika Ofisi ya Rasi TAMISEMI zinashughulikiwa na majina yatatolewa kila mwezi mpaka Juni 30 kabla utaratibu mpya haujaanza kutumika.

Malunde blog
Jambo la ajabu au ni uamuzi wa ajabu sana kufanyika karne ya 21. Ni aibu sana pale watu wanapoamua kufanya kazi kama robort.
Assume RAS akihamishwa kwa uteuzi kupangiwa kazi nyinge na Rais toka mkoa X kwenda Y, je hapo napo atasubiri miezi 3 ipite?

Au say kuna mabadiliko ya wakuu wa Mikoa/wilaya halafu mtu akalazimika kuondoka na mwenzi wake au for a good reason hapo itakuwaje?
Yaani katibu mkuu Wizara, katika changamoto zote za wizara, hili la uhamisho linakuwa issue? Kwa fikra kama hizi, mtu huyu akienda kuwa katibu mkuu wizara ya biashara au uwekezaji na kuna jambo la haraka kufanyika, anaweza kuacha kuli-attend simply policy au kanuni haijamwelekeza kufanya kwa urgency.

Kuna wakati watu wanasema nchi hii ngumu sana, unawaelewa. maana kuna maamuzi yanatoka kwa wasomi unaduwaa.
Anyway, tutafika; ni lini tunamwachia Mola wakati kuna mataifa ambayo hata Mola huwa hayamuombi wanakimbia sisi tutazidi kuupiga "mdogomdogo"

Ni TAMISEMI hawahawa mtoto akitaka kuhama baada ya mwezi wa 3 au 4 wanagoma; eti "mfumo wa computer" umefungwa.
Kama wazazi wamehama mkoa, mtoto anapata adhabu ya kutosaidika kisa, "mfumo" umefungwa.
 
Tukili wazi tu hawa viongozi wameishiwa mawazo na ubunifu..nadhani elimu ya kukaririshwa ndio madhara yake..wengi wana udumavu wa akili..hii sio solution ya tatizo hata kidogo..hata siku moja huwezi balance nature..ripoti zinaonyesha kufikia 2030 karibia ya idadi ya watu 80% watakua waishi mjini..manake vijini watu watapungua na nikweli kila siku watu wanakimbilia mijini na sio vijijini..ila viongozi wanalazimisha kuwe uwiano kitu ambacho haiwezekani.

Wao wakitoka dodoma wanakimbilia dsm..kwanini wasikimbilie huko sitimbi.
Huduma hakuna nani akaishi huko..misho wasiku watumishi watakuwepo tu na hakuta kua na tija yoyote mana mtu ataishi tu ili maiaha yaene ila utendaji kazi ndio zero.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa kama mtu anamfuata mume wake ambaye yupo kwenye jiji, manispaa au miji anakwama? kwa mawazo haya kama yanatoka kwa professor kwa kweli acha wakina Msukuma waendelee kuwadharau tu
Serikali ikiangalia ndoa ya kila mtu tutafika?.!

Mbona wenzenu wamehamishiwa Dodoma?!
 
Jambo la ajabu au ni uamuzi wa ajabu sana kufanyika karne ya 21. Ni aibu sana pale watu wanapoamua kufanya kazi kama robort.
Assume RAS akihamishwa kwa uteuzi kupangiwa kazi nyinge na Rais toka mkoa X kwenda Y, je hapo napo atasubiri miezi 3 ipite?

Au say kuna mabadiliko ya wakuu wa Mikoa/wilaya halafu mtu akalazimika kuondoka na mwenzi wake au for a good reason hapo itakuwaje?
Yaani katibu mkuu Wizara, katika changamoto zote za wizara, hili la uhamisho linakuwa issue? Kwa fikra kama hizi, mtu huyu akienda kuwa katibu mkuu wizara ya biashara au uwekezaji na kuna jambo la haraka kufanyika, anaweza kuacha kuli-attend simply policy au kanuni haijamwelekeza kufanya kwa urgency.

Kuna wakati watu wanasema nchi hii ngumu sana, unawaelewa. maana kuna maamuzi yanatoka kwa wasomi unaduwaa.
Anyway, tutafika; ni lini tunamwachia Mola wakati kuna mataifa ambayo hata Mola huwa hayamuombi wanakimbia sisi tutazidi kuupiga "mdogomdogo"

Ni TAMISEMI hawahawa mtoto akitaka kuhama baada ya mwezi wa 3 au 4 wanagoma; eti "mfumo wa computer" umefungwa.
Kama wazazi wamehama mkoa, mtoto anapata adhabu ya kutosaidika kisa, "mfumo" umefungwa.
Unataka kazi au ndoa?.
Utachagua

Ht km wewe ungekua KM
Ni ngumu kumfurahisha kila mtoto na kila mwanandoa
 
Back
Top Bottom