Uhamisho wa Watumishi wa Umma kufanyika mara 4 kwa Mwaka (kila baada ya miezi 3)

Uhamisho wa Watumishi wa Umma kufanyika mara 4 kwa Mwaka (kila baada ya miezi 3)

Unataka kazi au ndoa?.
Utachagua

Ht km wewe ungekua KM
Ni ngumu kumfurahisha kila mtoto na kila mwanandoa
Swali ambalo unaweza kunisaidia kujibu, ni siki sio nyingi Rais alimteua Balozi Batilda Burian kuwa RAS mkoa wa Shinyanga. RAS ni mtumishi wa umma; haikuchukua muda Rais akamtea Mhe. Burian kuwa RC Tabora; je kwa kuwa RAS ni mtumishi wa Umma, ilitakiwa asubiri kanini za katibu Mkuu- TAMISEMI?

Ndoa sio adhabu kwa kuwa mtu ni mtumishi wa umma, likewise mtoto iwapo wazazi wanahama sio jambo la favor kuambatana na mzazi, ni haki yake ya kuishi chini ya malezi ya wazazi.

Ila tupo hapa kutoa changamoto, Katibu mkuu halazimiki kufuata ushauri wetu; maana jina la civil servants/watumishi wa umma lipo kama "pambo". Na kwa kuwa dhana ya utumishi wa umma umejaa urasimu kwenye kutumikia wananchi, ndio maana kuna rushwa sana ili watu kupata haki.
 
Back
Top Bottom