Uhandisi 70!

Uhandisi 70!

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
222
Reaction score
64
Habari zenu wadau.Wadau kila mwaka vyuo vinachukua wahandisi wangapi? inamaana wahandisi wao mkopo ni given? idadi ya wahandisi waliokosa mkopo naona ni ndogo sana, vyuo vingi wanatoa wahandisi hao tu ndo waliokosa mkopo! Kwa familia zetu masikini tunatakiwa kuwasisitiza watoto wetu kukomaa na sayansi ili waasome kirahisi bila kujari interest zao.
 
DIT peke yake twaweza fika 70 tuliokoseshwa mkopo,sasa ukitafuta na wa vyuo vingine sijuiii itakuwaje,hapo hakuna walichofanya ila atakaepata bahati yake.
 
DIT peke yake twaweza fika 70 tuliokoseshwa mkopo,sasa ukitafuta na wa vyuo vingine sijuiii itakuwaje,hapo hakuna walichofanya ila atakaepata bahati yake.

Hatimae karibu wote majina yetu yametoka na tumepata
 
Back
Top Bottom