adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Tulioshindwa kuielezea Corona hatuna tofauti na Uchawi huu hapa katika karne ya 21.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mainjinia na nyinyi ni tatizo kubwa. Bora madaktari wanapambana na kirusi kisichoonekana sasa nyinyi hilo daraja linaonekana lakini bado hamuwezi kulijenga vizuri.View attachment 1876355
Tulioshindwa kuielezea Corona hatuna tofauti na Uchawi huu hapa katika karne ya 21.
Mleta mada hajakutana na makajanja ndio ataelewa ufanisi wa hao jamaa zanguMainjinia na nyinyi ni tatizo kubwa. Bora madaktari wanapambana na kirusi kisichoonekana sasa nyinyi hilo daraja linaonekana lakini bado hamuwezi kulijenga vizuri.