mwanaume asifiwi uehandsome...anasifiwa kwenda bank kuweka na kutoa chapaaa....by Original comedy
Kuna mdada alikuwa anamwambia mwenzake "Mi mwanaume awe handsome tu inanitosha na mambo fulani safi basi ili nizae watoto wazuri, Tabia wala sitajali sana sababu wanaume wote tabia zao zinafanana". akaendelea "Nikishapata watoto wazuri mi basi inatosha mambo mengine namwachia Mungu, maana wapo wengine unakubali wakuoe ukihisi ana tabia nzuri kumbe alikuwa anavaa ngozi ya kondoo".
Haya sasa wanaume tujipodoe.
Kuna wannawake wenye cash ya kutosha..hawataki hela kutoka kwa mwanaume. Wanachohitaji ni HB!mwanaume asifiwi uehandsome...anasifiwa kwenda bank kuweka na kutoa chapaaa....by Original comedy