Philipo Kidwanga
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 2,042
- 602
wako kama wadudu hawaeleweki kabisa.kwa kweli..........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wako kama wadudu hawaeleweki kabisa.kwa kweli..........
Kuna mdada alikuwa anamwambia mwenzake "Mi mwanaume awe handsome tu inanitosha na mambo fulani safi basi ili nizae watoto wazuri, Tabia wala sitajali sana sababu wanaume wote tabia zao zinafanana". akaendelea "Nikishapata watoto wazuri mi basi inatosha mambo mengine namwachia Mungu, maana wapo wengine unakubali wakuoe ukihisi ana tabia nzuri kumbe alikuwa anavaa ngozi ya kondoo".
Haya sasa wanaume tujipodoe.

mwanaume asifiwi uehandsome...anasifiwa kwenda bank kuweka na kutoa chapaaa....by Original comedy
Ni kweli Mkuu tena wewe ulivyo handsome kwenye avatar inaonekana uko hivo hivo Rejao.Uhandsome kumbe ni dili ee.
Ni mtazamo tu...
Hapo ndio ninapompendea kiumbe wa kike....
Anapokuwa bado kigori 16-19 utamsikia mimi bwana
mume wangu lazima awe mrefu,handsome mwenye pesa
na kila aina ya sifa(akibahatika kumpata alhamdullilah)
Akivuka hapo kuanzia25-30 utamsikia aah mume
ninayemtaka asiwe mrefu sana,sura haijalishi kwa sana
ila tu aweze kunipenda na kunijali(akitokea alhamdullilah
Kuanzia 30-35 kiumbe huyohuyo utamsikia ninayemtaka
sitajali sura mradi tu awe na shughuli yake inayomwingizia kipato
Kutoka 35 na kuendelea kama hakubahatika kupata, kiumbe
huyohuyo utamsikia akisema aah mimi yeyote atakayejitokeza
niko tayari kuolewa naye,sasa jamani tuwaeleweje hawa binadamu..??
NAWAZA TU HAPA KWENYE PC YANGU.....
wako kama wadudu hawaeleweki kabisa.