Heee! Kumbe wenzangu bado wanaangalia uhandsome! Mi kwa kweli uhandsome kwangu sio issue, muhimu niwe nimekufeel tu, na labda hapo kwenye mambo fulani nakuunga mkono, kama mwanaume anachemsha kwenye mambo fulani basi mi simtaki! Nipo kinyume nawe maana mi tabia naiangalia kwa jicho makini sana! Kwa mfano kuna kijana alikuwa ananitongoza wakati fulani, sasa siku moja nikapitia kwenye wall yake ya facebook kidogo nizimie hayo mambo anayopost, na ndio nikamdisqualify kabisa.
mwanaume asifiwi uehandsome...anasifiwa kwenda bank kuweka na kutoa chapaaa....by Original comedy
Bora umekuja kusema ukweli ma dia...miss u much!!!Those eyes lol
Sharp, fierce, sparkling. . .
Heeee..mke mkubwa Cantalisia na mdogo Smile wapo busy sana na malezi! Umebaki tu wewe my permanent kidumu!! Kwa wakati huu nakuhitaji sana..
Ni mtazamo tu...
Hapo ndio ninapompendea kiumbe wa kike....
Anapokuwa bado kigori 16-19 utamsikia mimi bwana
mume wangu lazima awe mrefu,handsome mwenye pesa
na kila aina ya sifa(akibahatika kumpata alhamdullilah)
Akivuka hapo kuanzia25-30 utamsikia aah mume
ninayemtaka asiwe mrefu sana,sura haijalishi kwa sana
ila tu aweze kunipenda na kunijali(akitokea alhamdullilah
Kuanzia 30-35 kiumbe huyohuyo utamsikia ninayemtaka
sitajali sura mradi tu awe na shughuli yake inayomwingizia kipato
Kutoka 35 na kuendelea kama hakubahatika kupata, kiumbe
huyohuyo utamsikia akisema aah mimi yeyote atakayejitokeza
niko tayari kuolewa naye,sasa jamani tuwaeleweje hawa binadamu..??
NAWAZA TU HAPA KWENYE PC YANGU.....