Uhandsome bwana sio Tabia!!



kumbe nna uhakika wa kujitwalia kadri nnavyoweza....kuwa handsome dili mjini hehehehehehhe
 

Heri mwanaume mwenye sura mbayaaa lakini ana akili za maisha na upendo wa dhati kuliko handsome mwenye akili za inzi!
 
uhandsome k2 gan m2 wang,,????????? kwanz mahndxo wa nwdeyz wot mchna2,,,!!!!!!!!!
 
mwanaume asifiwi uehandsome...anasifiwa kwenda bank kuweka na kutoa chapaaa....by Original comedy

ushasema komedi! quote watu wenye kueleweka! achana na mndumi ya kuwili hao
 
Ndungu mtangazi mwanamme anasifiwa Sura? Hapana mwanamme anasifiwa Kazi!
 

Ndio maana wakaitwa wanawake!
 
Halafu mahandsome wengi ni gay aka mshumaa aka wanapakuliwa.
 
Wanaume tunasifika kwa kazi na si kwa uhandsome banaa..
 
huyo dada ni mshamba tena alie bobea, atapigwa na kuachwa watoto hatapata. Kila handsome atamuona mume
 
Siipendi kabisa hii kauli kuwa wanaume wote mama/baba yao mmoja. Ni upuuzi unaotumika kuhalalisha maamuzi ya kipumbavu. Kila mtu ana mama na baba yake na malezi na mitizamo tofauti ya maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…