Uharamia Unaofanyika Jamii Forum

666 chata

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
1,700
Reaction score
3,921
Wakuu shida ni nini kwani? Iv kweli duniani mliona wapi mtu akaleta habari, makala au swala flani tena akatumia muda mwingi kuandika na kuelezea alaf nyie walimwengu makumi kwa maelfu ila wachache sanaaa yaan sanaa ndio mkajibu au kuguswa.

Hii kitu ipo jamii forum bhana, yaani uzi unakuta una views elf 40 alaf comments 60 na likes 12, huu ni ujangili mkubwa sanaa.

Kuna uzi jina siutaji unaviews elf 4 ila comments nne na like mbili, jamani huu sio uharamia kweli? Hawa watu wana roho ngumu wanaweza kuua ata twiga bila huruma.

Wapi duniani ukakuta views elf 30 kwa thread alafu comments 13 na likes 6, mbaya zaidi habari zingine ni kubwa na za maana kabisa.
 
Ni vizuri ukaupeleka uzi wako facebook kama unataka likes na coment nyingi

Umeanza kuweuka sasa? Wapi nimesema nataka likes na comments? Mie nimechambua uharamia tu na kuishia kucheka.
 
Mpk muda huu 9 kasoro usiku una views 97 na likes 2

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Ukiwa chit chat au MMU weka sredi ya ushankupe ili upate milaiki na mikomenti ya kutosha...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Even a black folk hate to see another nigga made it..
 
Acha kulilia Likes
 
Kama huna cha kujibu uandike nn sasa ? Ukiwalazimisha watu kucomment ndiyo maana wengine wanaandikaga pumba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…