666 chata
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,700
- 3,921
Wakuu shida ni nini kwani? Iv kweli duniani mliona wapi mtu akaleta habari, makala au swala flani tena akatumia muda mwingi kuandika na kuelezea alaf nyie walimwengu makumi kwa maelfu ila wachache sanaaa yaan sanaa ndio mkajibu au kuguswa.
Hii kitu ipo jamii forum bhana, yaani uzi unakuta una views elf 40 alaf comments 60 na likes 12, huu ni ujangili mkubwa sanaa.
Kuna uzi jina siutaji unaviews elf 4 ila comments nne na like mbili, jamani huu sio uharamia kweli? Hawa watu wana roho ngumu wanaweza kuua ata twiga bila huruma.
Wapi duniani ukakuta views elf 30 kwa thread alafu comments 13 na likes 6, mbaya zaidi habari zingine ni kubwa na za maana kabisa.